BAKWATA ni taasisi ya Serikali?


Kwa namna ulivomalizia na wewe ni mdini namba moja, eti raisi "mdini", kweli???
 
Kama ni Makonda tumsamehe bure na haina mashiko, atakuwa amesema tu wala msilifikirie;
  1. walimu kupanda mabasi bure (kiko wapi?)
  2. Ukaguzi wa nyumba kwa nyuma (kiko wapi?)
  3. kurudisha maeneo ya wazi yote (kiko wapi?)
 
ujuwe aghakhan alikuwa anakuja kasi mno,mashule,mahospitali,media etc,wakaamua kumkata makali na kuwaanzishia BAKWATA
 
Pia ujiulize ilikuwaje Lowassa akawatumia sana viongozi wa dini na majumba yao ya ibaada kujijenga kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015.
 
Ni swala la wakati tu na kilicho uvunguni kitaibuka....hapa kazi tu.
 
washawatuliza hao.. mbaya sana kuhusisha siasa na dini kwa serikali isiyokuwa na dini
 
Wenyewe wameridhika!! Na hiyo ingekuwa wamepewa upande wa pili kusingekalika humu
 
Sinema limeanza!
Barabara zote za Jiji hazipitiki,
Stendi ya Makumbusho na njia za kuingilia pale siyo,
Nchi hii....
 
hii ni namna ya kuipoza BAKWATA wasiongee chochote kuhusu serikali




 
BAKWATA ni taasisi ya serikali/ccm na hyo kwa wanaofatlia mambo wanalijua hlo
 

Kama ulikuwa hujui mkuu The Boss BAKWATA ni taasisi ya serikali iliyoundwa na Nyerere baada ya kuivunja East African Moslem Welfare Society iliyoukuwa jumuiya madhubuti kwa maendeleo ya Waislam. Kwahiyo, si ajabu kuona serikali ikiisaidia BAKWATA. Kwa ufupi BAKWATA haina faida yoyote kwa Waislam zaidi ya kuandaa sherehe za Maulid, kutangaza mwezi na kuandaa baraza la Idd. Zaidi ni kwamba BAKWATA ndiyo fisadi mkubwa wa mali za Waislam.
 
Issue ni kuwa izo pesa zipo kwenye budget yetu ya 2016/2017?
 


Hapa ndiyo kuna kila kitu kuhusu undani wa BAKWATA.
 
Teuzi zilizolalamikiwa kukaa kidinidini lilikuwa ni bomu lililokuwa linasubiri kupasuka.
Wameona waliwahi juu kwa juu!
Hii ni kama mitigation measure!
Au kwa lugha nyingine , ni damage control

Baada ya "mfumo" kusukwa ukasukika, sasa nyinyi mnapewa jengo kupozwapozwa
 
Wenyewe wameridhika!! Na hiyo ingekuwa wamepewa upande wa pili kusingekalika humu
Hawajaridhika, huo upande wa pili unapendelewa mara ngapi? Unataka waanzd fujo mseme waislamu ni watu wa fujo? Umeona ponda alichofanywa?
 
BAKWATA ni kichaka cha CCM ambacho ni ngumu sana kujulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…