BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani


mkuu hapo kwenye wekundu una hiyo picha?
 

Mkuu maneno sawa kabisa mkuu...bakwata hawafai na ccm hawafai

Ukiangalia muktaba uliopo unachagua better "evil"

Kwa hali ya waislamu ilivyo na madai yao..kuhusu OIC, MoU, na Mahakama ya Kadhi..etc

Kwa madai hayo msimamo wa Chadema =CCM =Maaskofu hakuna tofauti yeyote si chadema wala ccm watawasaidia waislamu kwa madai hayo

Why better evil..at least wakati wa JK na CCM kwa sasa waislamu hawapigwi mabomu na kuchonganisha bure...kama wakati uliopita

Besides amewapatanisha waislamu wenzetu huko zanzibar kitu ambacho chadema wako bitter nalo sana ...hawakitaki...

kwa mazingira yaliyopo ccm is better evil to muslims than chadema..hata maneno yao na vitendo vyao ni ki-waraka zaidi..

choose your position intellectually...
 
Kazi ipo!
 
Heil Hitler,
mkuu hapo kwenye wekundu una hiyo picha?

Ninavyokumbuka ni kuwa Kikwete aliwahi kumtembelea Mkuu wa nchi ya Vatican, Pope Benedict XV1 mwaka 2007 mwezi wa Oktoba.




Ambalo linakosekana hapa ni vazi la hijab !
 
2sichanganye hoja,viongoz wale ni wa BAKWATA,na wala c waislam wote.bakwata ni km NGO,hvyo wale viongoz wanatetea ki2mbua chao kisiingie mchanga.
 
Ninavyokumbuka ni kuwa Kikwete aliwahi kumtembelea Mkuu wa nchi ya Vatican, Pope Benedict XV1 mwaka 2007 mwezi wa Oktoba.




Ambalo linakosekana hapa ni vazi la hijab !

Aisee ...mkono wa kuume Mheshimiwa na wa uuke wifey....! Inaelekea walikuwa wameendea upako! Mimi natafuta ile aliyopiga magoti na kuubusu mkono wa papa....kama kweli ipo!
 

Ipo kazi! Mtoa mada hakuitaja kabisa Chadema popote. Hata hivyo ni CCM hiyo hiyo iliwapiga mabomu Waisilamu huko Zanzibar na Pemba, 2001 na 2006, na hapa Dsm 1998 na 2002 (mwembechai) -- niambie Chadema imewapiga Waisilamu wapi mabomu, lini na sehemu gani. Madai yote ya Waisilamu yamekataliwa na CCM, yoote na wala hawasemi fyoko, badala yake wanalamika pembeni, mfano humu JF. Sasa mnatumiwa na CCM wanavyotaka na kwa utii mkubwa.

Yaani Waisilamu hamueleweki kabisaaaa!
 

Sijui itakuwa vipi endapo CDM ikiingia madarakani, ikaamuwa kuwa Waisilamu Mahakama yao ya Kadhi na OIC. Msishituke, inawezekana kabisa. Cha kujiuliza ni jee -- Waisilamu watakataa kwa kuwa offer imetolewa na serikali ya "Kikiristo?"
 

We go for better evil...as of now ccm = chadema as far as madai yetu ya msingi i.e. OIC, Mahakama ya kadhi, MoU etc..

Besides..tumeshaomba kwa maandishi msimamo wa chadema kuhusu haya mambo na hata hapa JF nimeanzisha thread...hakuna cha Slaa wala Mnyika aliye respond kuonyesha msimamo wao..japo majibu ya wengi fans wao ni dharau tu..ambazo ni sawa zilezile za ccm...

Ukiangalia vitendo vya fans wao case of DC igunga unaweza kufikia conclusion kuwa ..unaweza kuruka moshi ukakanyanga moto...

Waislamu hawatasaidi na chadema wala ccm as far as madai hayo ya msingi...

Hata wasipoichagua ccm, hawana sababu ya kuichagua chadema pia...ni sawa na kuruka moshi na kukanyanga moto..

Muslim kwa mazingira haya ya dhararu unaangalia "better evil" because both are evils
 
Sijui itakuwa vipi endapo CDM ikiingia madarakani, ikaamuwa kuwa Waisilamu Mahakama yao ya Kadhi na OIC. Msishituke, inawezekana kabisa. Cha kujiuliza ni jee -- Waisilamu watakataa kwa kuwa offer imetolewa na serikali ya "Kikiristo?"

Tutaiunga mkono kwa maandamano makubwa...I will be the first to organize
 
Hivi huwa najiuliza ..wasomi wote wa kiislam wamejificha wapi wakati huu? Tumesikia akina Prof . Safari ..., hapa JF kuna akina Mkandara na wengine wachache wanaochangia kwa hoja zenye mashiko! Hivi wasomi wooote wa kiislam wapo wapi wakati huu dini yao inapochafuliwa na hawa mashehe uchwara ? wanaogopa nini kutoa maoni yao hadharani au kukemea hali hii?
eti better evil...! vichekesho vingine vinaudhi kweli!
 

You tuned to hear what u like it most...and therefore must come from Prof. Safari mwanachama wa chadema and Mkandara (mpenzi wa chadema)

Our analysis as of now as a muslim leader this two parties are both evils..unachotakiwa kuangalia na kuchagua better evil
 
What a bunch of losers...! kwa mtaji huo mtaendelea kutumika kama mipira ya uume mpaka mtakapofika ahera! pole sana!
 
What a bunch of losers...! kwa mtaji huo mtaendelea kutumika kama mipira ya uume mpaka mtakapofika ahera! pole sana!

Time will tell..hata wakoloni walisema hayo..na hao hao waislamu wakaleta uhuru Tanganyika..

Mkuu either ni chadema au CCM au CUF madai yetu tutapata tu nikwambie ukweli wakati kwetu si tatizo

Madai yatapatikana kwa hekima au kwa lazima period
 
Time will tell..hata wakoloni walisema hayo..na hao hao waislamu wakaleta uhuru Tanganyika..

Mkuu either ni chadema au CCM au CUF madai yetu tutapata tu nikwambie ukweli wakati kwetu si tatizo

Madai yatapatikana kwa hekima au kwa lazima period
hii kitu ya 'better evil' haiingii akilini mwa mtu wa kawaida.....yaani ni sawasawa na katoto kaliko lawitiwa sana katika maisha yake halafu watu wakitaka kukasaidia kanakataa na kutaka kuendelea kulawitiwa tu......! Imefikia pabaya sana jinsi CCM inavyoitumia BAKWATA kui abuse Dini yenu Tukufu ya Kiislam..!
 
BAKWATA komaeni mc choke komaa kweli kweli matamko maana mtafutaji hachok
teh! teh! teh!
 
Fatuma Joseph Kimario DC wa Igunga ataoza mwanaye wa mwisho anayeitwa Vivian Kimario ambaye amemaliza masomo yake mwaka jana chuo cha IFM na ndoa itafanyika katika kanisa la St.Peters Dsm , BAKWATA MPO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…