Currently Active Users Viewing This Thread: 38 (15 members and 23 guests)
Kazi ipo
Currently Active Users Viewing This Thread: 38 (15 members and 23 guests)
.Mimi ninavyojua na ndivyo ilivyo Bakwata iliundwa mara baada ya rais JK Nyerere kuvunja jumuiya ya waislam ya Afrika mashariki ambayo ilikuwa na nguvu sana.
JKN alitumia vyombo mbalimbali vya usalama na kuwatumia baadhi ya waislamu makachero kuuwa Umoja huo na baadaye akashinikiza kuanzishwa kwa BAKWATA chini ya katibu mkuu Kachero Adam Nassib, akina Kachelo Alhaj Kundya na wengine wote.
JKN aliunda Bakwata kwa nia na madhumuni ya KUWADHIBITI WAISLAMU kwani ni wao waliokuwa tishio kwake katika kuupenyeza Ukatoliki Nchini. Kwa maana hiyo JK alitumia ushawishi wake mkubwa kuhakikisha kuwa Bakwata ni chombo kinachowakilisha maslahi ya madhehebu yote ya kiislamu tanzania na wakati huo huo ni taasisi ya Serikali katika kudhibiti movement za waislamu.
Kwa misingi hiyo. Bakwata sio chombo kinachokubalika miongoni mwa waislamu bali ni chombo kilichoundwa na Serikali ya Tanzania kuwadhibiti waislamu.
Hata Leo hii waislam wapige kura kuchagua kama wanaipenda Bakwata au jumuiya nyingine zilizoundwa za waislam sidhani kama Bakwata watapata hata 5% ya waislam.
Fikirieni Waislamu wa Tanzania pamoja na pesa zao walizonazo wanazojengea miskiti na kupeana misaada BAKWATA ilishindwa hata kupata pesa za kufanya mkutano wake mkuu wa kuchagua viongozi wake mpaka wakafanyiwa harambee na kuchangiwa na kanisa kufanikisha mkutano huo.
Swali lako Dr barubaru mimi sijui kwanini serikali inaipenda bakwata wakati waislamu wenyewe hatuipendi. labda labda wao wanausajili wa juu kulinganisha na taasisi nyingine za kiislamu. Hilo labda utufafanulie kidogo kuhusu usajili kwa mujibu wa sheria.
Namaliza kwa kusema. Bakwata si lolote si chochote kwa waislamu bali ndio sikio kuu la Serikali.
Barubaru,
Kwa kuuliza swali hili jiulize je, kabla ya BaKWATA hapakuwa na umoja mwingine wa waislamu, au jumuiya zingine za kiislamu?, pia jiulize kama zilikuwepo je zimeishia wapi? Pia tafiti iliundwa vipi na kwa kutumia vigezo gani? Ukitafita kwa ndani utagundua na kushangaa sana.
Nimekuwa najiuliza siku zote huko Tanzania. Je Bakwata ina wafuasi wowote ukilinganisha na jumuiya nyingine za waislamu huko Tanzania especially Tanzania Bara.
Mimi naona kuna Jumuiya kama Baraza Kuu, Shura ya maimamu .n.k Hizi zina misimamo ya kidini sana katika kutetea haki za waislamu na uislamu.
Kwanini Serikali ya TZ inaikumbatia Bakwata? Kuna agenda gani kwa serikali?
Inawezekana ukawa na points kwa baadhi ya unayoyaongelea lakini unapojifanya kuwa huoni uonevu juu ya Waislamu unafanya hivyo kwa ajili ya kuvutia upande wako. Hebu tuangalie suala dogo tu la Mahakama ya Kadhi hili lilitaka hiyo unayoiita elimu dunia? Hivyo hili la Wakristo kuhoji kila anapochaguliwa Muislamu kwenye nafasi kubwa huoni kuwa ni tatizo hilo?
Tunapoangalia tabaka au jamii fulani inajiimarisha katika vyombo vya jamii na kuwaacha wengine huoni kuwa hilo linajenga tatizo la kijamii?
Hebu natuangalie hili tatizo la tofauti ya kipato katika jamii yetu, kwanini tunaliona tatizo wakati wenzetu walio na kipato kikubwa waliwahi mapema ikiwa kielimu au kuhodhi rasilimali? Tukae kimya tu na tuache kulaumu na badala yake kama unavyowashauri Waislamu na tuendeleze elimu na tuone jee itafika siku tofauti hii iondoke.
Hili unalolifikiri wewe na pengine wengi wengine ni sawa na kuona kuwa Waislamu wanajitaki wenyewe kwa lililowakuta lakini unasahau kuwa kwa kipindi kirefu kuwa elimu ulikuwa chini ya KANISA na kuipata kulihitajika kupoteza imani ya mtu. Hali hivi sasa imerudia tena kwa utitiri wa vyuo vya kikiristo na ni siri iliyowazi kuwa upo mkakati maalum wa kuhakikisha kuwa hali hii inaendelea
Nimekuwa najiuliza siku zote huko Tanzania. Je Bakwata ina wafuasi wowote ukilinganisha na jumuiya nyingine za waislamu huko Tanzania especially Tanzania Bara.
Mimi naona kuna Jumuiya kama Baraza Kuu, Shura ya maimamu .n.k Hizi zina misimamo ya kidini sana katika kutetea haki za waislamu na uislamu.
Kwanini Serikali ya TZ inaikumbatia Bakwata? Kuna agenda gani kwa serikali?
Tell as something we haven't heard yet mkuu.Bakwata ni chombo kinachoongozwa na Serikali ya CCM. Bakwata haitetei maslahi ya Waislamu. Nia yao kubwa ni kupunguza nguvu za Waislamu.
Kwa nini Waislamu wasianzishe jumuiya nyingine ambayo wanaweza kuiamini? Na je Waislamu hawana utaratibu wa uongozi unao julikana? Kwa mfano kama ilivyo kwa makanisa? I'm just asking because kama waislamu wenyewe hawaitaki Bakwata sioni kuna shindwaje kuanzishwa jumuiya nyingine.
.Kwa nini Waislamu wasianzishe jumuiya nyingine ambayo wanaweza kuiamini? Na je Waislamu hawana utaratibu wa uongozi unao julikana? Kwa mfano kama ilivyo kwa makanisa? I'm just asking because kama waislamu wenyewe hawaitaki Bakwata sioni kuna shindwaje kuanzishwa jumuiya nyingine.
Jamini huko kudhulumiwa kwa waislamu walidhulumiwa na nani?Wakati wenzao wanakimbia wao wanatambaa(wanacheza tu bao).Hwataki kufanya kazi wanishia kuombaomba tu na ndio maana kila ijumaa imewekwa na baadhi ya wenzao kwenda kuchukua msaada.Fanyeni kazi,someni acheni majungu na vikao vya kucheza bao.Uwiano wa kipato ni kwa sababu ya ugiogoi wenu.Swala 5 kwa siku kazi utafanya saa ngapi?
Mkuu, pamoja na kuwa ni haki ya kila mtu kutoa maoni yake (yoyote) bila kuvunja sheria, ila kuna maoni ambayo yana walakini mkubwa na madhara kwa jamii yetu. Kwa maoni yangu, sidhani kuwa suala la udini lina nafasi kubwa kwa waTanzania kama baadhi ya watu wanavyotaka ionekane. Waraka wa Shura ya Maimam unaelezea mambo mengi. Mengi kati ya mambo yanayoelezewa ni kutoka kwenye clips za magazeti mbalimbali na matukio ya udhalilishaji wa waislam wa India. Vile vile waraka/mwangozo huo unaelezea historia ya jinsi dini ya ukristo ilivyokuwa ikienezwa nchini (miaka mingi iliyopita). Ila kwa kifupi, malalamiko mengi yalitakiwa yawe kwa serikali zaidi kuliko kwa dini nyingine.Inawezekana ukawa na points kwa baadhi ya unayoyaongelea lakini unapojifanya kuwa huoni uonevu juu ya Waislamu unafanya hivyo kwa ajili ya kuvutia upande wako. Hebu tuangalie suala dogo tu la Mahakama ya Kadhi hili lilitaka hiyo unayoiita elimu dunia? Hivyo hili la Wakristo kuhoji kila anapochaguliwa Muislamu kwenye nafasi kubwa huoni kuwa ni tatizo hilo?
Tunapoangalia tabaka au jamii fulani inajiimarisha katika vyombo vya jamii na kuwaacha wengine huoni kuwa hilo linajenga tatizo la kijamii?
Hebu natuangalie hili tatizo la tofauti ya kipato katika jamii yetu, kwanini tunaliona tatizo wakati wenzetu walio na kipato kikubwa waliwahi mapema ikiwa kielimu au kuhodhi rasilimali? Tukae kimya tu na tuache kulaumu na badala yake kama unavyowashauri Waislamu na tuendeleze elimu na tuone jee itafika siku tofauti hii iondoke.
Hili unalolifikiri wewe na pengine wengi wengine ni sawa na kuona kuwa Waislamu wanajitaki wenyewe kwa lililowakuta lakini unasahau kuwa kwa kipindi kirefu kuwa elimu ulikuwa chini ya KANISA na kuipata kulihitajika kupoteza imani ya mtu. Hali hivi sasa imerudia tena kwa utitiri wa vyuo vya kikiristo na ni siri iliyowazi kuwa upo mkakati maalum wa kuhakikisha kuwa hali hii inaendelea.
kuanzia waraka wa katoliki na huu wa waislamu.
inaonesha jinsi gani tunavyotafuta golden chance ya kutibua amani yetu.
nawaambia maneno yangu kwamba tusipokuwa makini hii ngoma ambayo mwanzo wake ni lele itapata wachezaji kupitia dini. na ikianza kuchezwa itakuwa chamchela