Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,372
- 111,695
nawashangaa wanavyobanana kama wanakoka moto juani
Zote hizi ni hasira za kutotembelewa na Obama...teh teh
Bandari ya Salama ndio mpango mzima...hapa ndio njia panda ya Ulaya.

pacha umeniua kwa kicheko hahhaaaa
wana daslam wakikuskia wataandamana!!
Yani toka external mpaka buguruni sheli nimetumia masaa mawili na nusu leo saa 4 mpaka saa sita na nusu mchana?
Kwaherini narudi mkoani kwangu. Hii foleni ya magari ni balaa
​kimanzichana raha jamanihahahaaa pacha kwani uongo jamani? Wenyewe si wanasemaga joto kali?