Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,962
Na njia kuu ndo kuna misumari ya kutegeshewa kwenye mifuko ya nailoni na vipande vya mbaoMkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiajiNjia kuu hasara tupu
Hahahahaa umekamatika loh si umejifanya mjuaji? Baki njia kuu Babu unaona? chochoo hizo!Duh tatizo situmii kabang za wanachama wa Elton John.
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiaji
Vichochoroni hakuna trafiki.
Ruttashobolwa hii imetokana na kuwa watu hawana hofu ya MUNGU huku wengine wakiamini hakuna MUNGU.Aisee! Ujumbe huu una mkanganyiko sana! Yani kuliko kumshauri mtu kuwa na mmoja tuu kitu ambacho kwa sasa kimeshindikana ni bora kumshauri kutumia kinga.
Hapo mbona rahisi tuu... Si unatafuta vichochoro viwili vinavyopishana tarehe...!Nduka sasa huko uchochoroni ndo hakunaga hata kupalilia uchochoro au unataka kusemaje? Mbona mnatafuta visingizio vya kuchepuka? Baki njia kuu bwana
Kwani nani ndo unamuweza..??sikuwezi wewe babu looh
Hakuna kitu kinachokera kwenye njia kuu kama ule ukarabati wa kila mwezi, njia inafungwa siku tatu au zaidi. Kero kwa watumiaji
Kwani nani ndo unamuweza..??
!Nduka sasa huko uchochoroni ndo hakunaga hata kupalilia uchochoro au unataka kusemaje? Mbona mnatafuta visingizio vya kuchepuka? Baki njia kuu bwana
Hapo mbona rahisi tuu... Si unatafuta vichochoro viwili vinavyopishana tarehe...
Airtel kwenye sim moja na sio kubadilisha badilisha sim mara atake HTC 1
mara Samsung Galaxy mara Nokia ya tochi anhaa sio hivyo..........
Uchochoro hauna ukarabati ni all weather, masika madimbwi kiangazi vumbi tunadunda tu.
Asante kwa ujumbe. Hata mie nilishamwambiaga siku nyingi achague kwangu au kule, mambo ya kuchanganywa sipendagi. Namshukuru amenielewa. Hakuna kuchepuka, uko kwangu kaa kwangu, kule ushatoka achana na mambo ya kule yalopita yamepita.