dawa yenu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 2,822
- 3,651
Bakhresa is crative
Hiyo ndo nini?
Bakhresa is crative
Mkuu mbona unakuwa kama unamwongelea baba angu mkwe tu (R.I.P.) yeye alikuwa alikuwa amekalia kufungua baa tu na kula madem matokeo yake hatuko nae tena mafao watoto hata hawakuyaona!Hii kitu iko pale Dubai kwa wingi watu wametumia fursa zao,wengine wanajua kufungua Bar tu na kutuchukulia wake zetu tu
Ungeandika kwa kiswahili tu.Bakhresa is crative
Mkuu mbona unakuwa kama unamwongelea baba angu mkwe tu (R.I.P.) yeye alikuwa alikuwa amekalia kufungua baa tu na kula madem matokeo yake hatuko nae tena mafao watoto hata hawakuyaona!
Unatamani Ungekuwa Ni WwB ado natafakari kipato cha 7M kwa dakika.
Bhac sawa ,ila nawe umechapia mkuu,Tatizo la tachi mkuu ametereza tu huenda alimaniisha 'creative'
Nakumbuka enzi hizo muvi za akina komandoo kipensi wakiwa mitaa ya Vietnam walikuwa wakitumia sana mambo za hiviHizi ndio taxi za kwenda Kigamboni na nauli itakuwa shilingi 500. Bado sijapata taarifa zaidi zinaanza huduma rasmi lini. Hongera sana Bakhressa.
View attachment 361926
Sio lazima kutumia lugha ya kiingereza wakati hujui..umeandika nini sasa hapo?Bakhresa is crative
Inahusiana vipi na thread hiiB ado natafakari kipato cha 7M kwa dakika.
Umenikumbusha mkuu. Bora ya Kampala. Usukumani ukiita daladala inakuja baskeli. Jamaa yangu alielekezwa akifika sehemu huko Shinyanga apande daladala. Aliposhuka akakuta baskeli kibao zimepaki, yeye akasimama pembeni anasubiri daladala. Alisubiri sana. Kama siyo hizi simu za mkononi....aaaah........tulishampoteza mshkaji. Si vizuri kukariri.Ukifika Kampala.ukiita Taxi inakuja Hiace. Sio vizuri kukariri mazoea
http://www.livinginkampala.com/wp-content/uploads/2012/06/transportation-in-kampala1.jpg
jibu lilitolewa zamani sana !!!Inahusiana vipi na thread hii
hahahaha mambo ya fursa hayo,hata kama za wizi,ila tu usikamatwe,saa nzima ana shilingi ngapi?na tokea aanze kuiba anamahela hata hayahesabiki,halafu bado tunaambiwa Tanzania masikiniB ado natafakari kipato cha 7M kwa dakika.