Bakhressa aleta taxi za baharini kwenda Kigamboni

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
926
3,540
Hizi ndio taxi za kwenda Kigamboni na nauli itakuwa shilingi 500. Bado sijapata taarifa zaidi zinaanza huduma rasmi lini. Hongera sana Bakhressa.

1467384075274.jpg
 
hicho kivuko (sea tax) kina kama wiki tatu sahiv nauli ile ile shilingi 200 kinafanya kazi kusaidiana na MV kigamboni kinabeba watu 50—70
 
Sasa tax au daladala tax gani sh. 500
Ayo maneno tu ya bakhressa ktk boti zake mfano vyombo vyake vingine vya majin kavipa majina kama hapa.chini
SeaLink 1
Kilimanjaro
Sea bus
Super sea bus
Sea rocket
Sea taxi
Nadhan umeelewa
 
tumia akili labda utapata ufahamu wa mahusiano yaliyopo.hii sio 2+2=...!
 
hicho kivuko (sea tax) kina kama wiki tatu sahiv nauli ile ile shilingi 200 kinafanya kazi kusaidiana na MV kigamboni kinabeba watu 50—70
Vipi mv dsm bado inasongesha bagamoyo?
 
Back
Top Bottom