Bakhresa kwa Makonda, Mwakyembe na Tido, na Nilichojifunza Binafsi

Kwanza hao watoto wake utaanza kukutana nao wapi mpk mpigane mkuu?
 
Haaaa haaaa alinipita hata mimi,badala ya kunisalimia kwa unyenyekevu kajipitia tu kama vile sikuwepo.Huyu Mzee ni shida labda anafikiri yeye ni tajiri kuliko mimi.
😂😂😂 sidhani kama hata huo muda wa kukufikiria ako nao!
 
Mzee Mwinyi&the family wanakucheki tu wanasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Na hutakaa usikie kwamba ametoa msaada...
 
Ukweli mtupu!
 
Wewe umaskini wako usikufanye uingie kwenye vichwa vya watu na kujifanya unajua wanachofikiria

Pale msibani ulitaka waanze kupiga story gani?

Hao wote Walisalimiana kabla ya kuketi
 
Ndo nnachokiongea.
Hawa watoto wa bakhresa ni watu social tu,nna marafiki wa kiume nine soma nao chuo wakaingia kwenye makampuni na kupata kazi kupitia connection na urafiki walionao kwa hawa watoto wake.
Unaweza hata pishana nae kwenye shopping mall lakini hawezi kukufata na kujidai mi mtoto wa bakh.lakini wana urafiki na watu wengi wa kawaida sana.
Pia wana angalia we ni mtu wa aina gani.kama unaendana nao wanajichanagya
Bila kuna watoto wengine wa matajiri unakuta wanapigana club,wamepakata Malaya nk
Kwanza hao watoto wake utaanza kukutana nao wapi mpk mpigane mkuu?
 
Tatizo wabongo huwaza vitu negative
Yule Mzee sio muongeaji hata kidogo ila ukiweka hoja mezani ndio mtajadili

Sasa mtoa maada anaropoka tu
 
Hapo bash anampigia mahesabu ya jinsi gani amkomoe.
 
Hao kama ni club wakienda wanakua VIP kajamba nani hakuna huko,totozi ni wapambe tu wanafanya kazi ya kuimbisha manzi anapelekwa double tree/kempinsiki(presidential rooms) au huko kwny yatch yeye mshikaji akija kazi ni 1 tu.,mbupu.com

Wanajua nafasi yao kwny jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…