Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Ukitazama kwa picha kubwa utakuta hata makampuni yanayomilikiwa na wakristo wana tabia hiyo hiyo. Tatizo nyani haoni matako yake
nyumba za ibada zinahamasisha waumini kusaidiana wao kwa wao hasa kiuchumi. Vikao vya jumuiya ni zaidi ya kusali
 
Hivi nyinyi waislamu mnaosema dini yenu inawasihi msaidiane wenyewe kwa wenyewe mbona mtaani kwenu mnakaa na kula pamoja na wakristo? Mbona mnacheza na kukaa nao? Mbona wengine mnaanzisha mahusiano na mna wapenzi wakristo na hata wazazi wakikataa msibadilishe dini bado mnakaa nao na kuwatia mimba?
Nilitaka ni comment kitu lakini ninahisi kuanzia hapa na kwenda mbele waislamu wote watanishambulia.
Just [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]lakini sio fresh.
 
Haya mambo yana maelezo marefu sana. Fikra zako ziko sahihi mrembo lakini unahitaji kujua zaidi juu ya harakati na misuguano ya kidini Tanzania. But muhimu ni kua hakuna dini inayohamasisha kutengana.
 
Katika fomu ya kuchukuliwa maelezo polisi kuna kipengele unaulizwa dini. Hata fomu ya kuombea passport inacho icho kipengele. Fomu nyingi tu kipengele icho kipo.

Wamekupiga na chini sio kwa sababu ya dini, bali kwa uzushi wako. You are not honest.

Na umeweza kuapply vipi kazi kwa jina feki? Vyeti vyako viliandikwa jina gani wasikujue tangu mwanzo?

Huwez kuajiriwa kwa uongo wako popote pale.
 
Huu uzi ni wakipuuzi naninamashaka na makusudio yake ni nini hasa,maana kuna michango ya memba imeondolewa humu.kama kweli hakuna kampeni zasiri hapa ondoeni uzi wote
 
Sina uhakika katika Chanel za Azam TV unaweza kuta vipindi vya dini ya kikristo kama Chanel nyingine hata siku ya jpili, walaji wa bidhaa za azam ni watanzania wote na dini zao .Inawezekana kuna ukweli na mleta uzi huu
 
UDINI UDINI!
Walikuwa wanaziuza mwanzoni waislam wakalalamika eti. Hao waislam kwani walishindwa nini kuja kununua vitu vingine wakaachana na hizo sosej tule sisi?
Waweke bango basi kwamba hapa ni wateja waislam tu tujue moja
Wewe mbona unawapangia watu biashara zao Fungua banda lako uuze divai, mikate na kitimoto achana na mipangilio ya watu kutouza misoseji Ndio Udini.
 
Sina uhakika katika Chanel za Azam TV unaweza kuta vipindi vya dini ya kikristo kama Chanel nyingine hata siku ya jpili, walaji wa bidhaa za azam ni watanzania wote na dini zao .Inawezekana kuna ukweli na mleta uzi huu
Fatilia na Ipp, crdb
 
Udini/ukabila si mara zote unaepukika kirahisi. Ukiweza nionesha asiye mkatoliki (achilia mbali muislamu) pale Mkombozi bank tutaanzia hapo mjadala.
 
Dawa ni kuanzisha kampuni yako kisha kufanya upendavyo nawe.
 
Mimi huwa situmii bidhaa za bakhresa, no offense lakini.
 
Hilo la udini kwa bakressa group ni true beyond reasonable doubt. Mm mwenyewe nimegonga mwamba kupata kazi pale. Ukiingia pale mzizima utakutana na msikiti ndani
 
Wakristo tusinunue vitu vya bhakresa tena ila mimi siachi unga wao ni mzuri sana.
Kiukweli sio vizuri eti mbona huku naendaga supermarket ya muislamu ila kachnganya wapo wakristo na waislamu ila sijali kuna kazi nyingi.
Bakresa sio anaye ajiri hapa tz angalia kwingine
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…