My dear Trust me,mtu yyte mfanya biashara hata akipoteza shilling 50,lazima imuume tu,in one way or the aza,itakuwa imemuumiza tu lazima,and its not about money its about the yrs they have been 2geza,miaka hiyo si midogo eti,mke/mume ambae asb ndo wa kwanza kukuona ukiamka na usiku wa mwisho kukuona ukiingia kulala + the good memories + the bad!binadam tumeumbwa na roho hatukuumbwa na pesa lazima uumie tu,hata Yesu alisema mwili ni dhaifu!,hakuna aseumizwa na mapenzi jamani hata uwe na pesa kiasi gani.
Naelewa Pearl na nakubaliana na wewe, najua kweli lazima imemuuma mana mpaka wakapelekana kwa lawyers ina mana issue ilikua kubwa na kuwa solved kinyumbani ilishindikana. Nasema Nip in the bud tokana na ukweli kwamba do you really believe vilivyotajwa hapo juu ndo vitu pekee barkresa ana own? Jamaa production yake inampelekea kua na gross turnover ya hapa inchini zaidi ya asilimia 30, hivyo vitu vilo tajwa hapo juu si vyote....
According to the news the matrimonial disputed was settled under Kenyan laws in Mombasa, and i didn't hear them mentioning about Kadhi Court it was settled kwenye civil onesThe Finest, hello,
I would like to grasp the notion of your post right; was this matrimonial dispute settled under Tz or Kenyan laws? In case of Kenya, did she go to Kadhi court (nasikia mahakama za kadhi ziko huko) or civil ones.
si vyote na pia anawake wangapi?na mali zote hizo ni zake?yy kama yy?wat ur sayng is vere vere true dear.
Si unajua ishu hizi huwa zinakuwa kimya kimya ila matokeo ndio mnakuja kuyasikia kwenye vyombo vya habariAcha kabisa... Sijui huby alizubaa wapi!
si vyote na pia anawake wangapi?na mali zote hizo ni zake?yy kama yy?wat ur sayng is vere vere true dear.
Hahaha RR banaa lolPearl hebu jilengeshe basi......unakaa nae mwaka.....basi umasikini kwishnei.....then na mi ntajilengesha kwako, ili uniambukize faranga kidogo...
Pearl hebu jilengeshe basi......unakaa nae mwaka.....basi umasikini kwishnei.....then na mi ntajilengesha kwako, ili uniambukize faranga kidogo...
Si unajua ishu hizi huwa zinakuwa kimya kimya ila matokeo ndio mnakuja kuyasikia kwenye vyombo vya habari
Hahaha RR banaa lol
ah ah ah alafu ndo nilikuwa nakunaniliu ile naliliu ya naniliu,umenaniliu?
duh,haya bana wenye mijihela yao haooooooooooo wanaachwa sembuse sisi!"My love dnt cost a thing"
Hii kesi iliungurumua huko Kenya ndio maana imekuwa rahisi kwa hao lawyers wa huko kukamata deal fastaPamoja na kusema game yake iko juu, itabidi nimpe gentle push ai upgrade tena kidogo... Kwani hao Balala walipata vipi taarifa? I bliv ni connections na kua mzuri ktk game...
Hahaha!! Umenikumbusha mtoto wa ****** lolTunaishi kimjinimjini kaka....usione watu wanaenda ma-hama na ma-kruza..
Hahaha!! Production ya unga wa siku moja lol!!!
Huyo mwenye maneno hayo mwenyewe hakuamanisha bali alisema tu mdomoni.
Mkuu hela inazunguka withinMkuu, huyu ni Mohamed Bakhressa, nadhani ni Mdogo wa Salim S. Bakhressa the proper Tycoon.
Mkuu, huyu ni Mohamed Bakhressa, nadhani ni Mdogo wa Salim S. Bakhressa the proper Tycoon.