Kumbe ccm mnajua kuna watu hawalipi kodi?Kweli nchi hii amani yetu ndiyo umasikini wetu.Weka ushaidi wa hayo maneno yako badala ya kupambana na makampuni ya madini hayalipi kodi wewe unapambana na Bakhresa bila data zozote zaidi ya chuki zako tu.
Mitanzania bana.
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Acha uvivu unataka kila kitu uletewe ,hii orodha inapatikana kwenye mtandao wa TRA,na pia kunakuwa na sherehekila mwaka ya kuwatunuku walipa kodi wakubwa 10 katika hiyo orodha pamoja na Bakhresa kutokuwemo hata makampuni ya simu hayamo,wanaongoza ni TBL,TCC na kuendelea,penda kujisomea usipende kusema lete hapa hangaika na wewehebu lete hiyo list ya walipa kodi wakubwa...?
mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
awezi kulipia vyote mandazi, chapati na tui la nazi havina kodi ndimo amejificha umo.mkuu naungana na wewe kwa 90%! Ila ujue hakuna mfanyabiashara tz anayelipa kodi kwa 100%. wanaolipa kodi inavyostahili ni wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya ofisi binafsi tu.
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.vya
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa. Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi la walipa kodi wakubwa.
Superman alileta thread mwaka jana, kuhusu walipaji kodi wakubwa[/QUOTE
Hiyo ttcl ime include voda tigo na nk...au?
Mbona MENGI MNAMUOGOPA SANA KUMTAJA WAKATI NDIYE KINARA WA MAGUMASHI KWENYE BIASHARA ZAKE ,
Mleta mada hebu tupe orodha ya hilo kundi LA walipa kodi wakubwa. Kama huna hiyo orodha basi haya yatakua majungu