Bakhresa anakwepa kodi?

Magufulificatio Amuulize Jk kwa nn Bakhresa halipi kodi
 

Mkuu sheria ya kulipa kodi haihusiani na kuwawezesha wafanyi biashara et al kila mtu lazima alipe kodi. Kwa nini masikini ndio walipa kodi wakubwa wakati Jambazi Sugu na familia yake ya mafisadi hawalipi kodi stahiki?

BTW swala la wenye migodi etc tumekuachia wewe uliongelee.
 

Achunguzwe Bakhresa tu! au wafanyabiashara wote? kuna watu wapesa zaidi yake nchi hii, nini kumekusukuma umtaje yeye tu!.
 
Yule mhindi wa singida ndo mkwepa kodi mkubwa nchii hii.
 

Hofu ya udini hiyoooo inanukia. wivu usiwe kigezo cha kuleta fitina. Hivi karibuni kupitia kipindi kimoja kinachorushwa na ITV kila alhamisi, tulihabarishwa kuwa misingi bora iliwekwa na Julius Nyerere ikaja kuharibiwa kwa kurusu mainzi kuingia baada Ali Hasssa Mwinyi kufungua milango k wa wafanya biashara, akaja Mkapa na akaziba mianya na kufukuza mainzi , na alipokuja Kikwete akaharibu tenakwa kukuribish mfisadina sasa Msgufulu kaja kuweka sawa Mudhui ni kwamba nchi ikiongozwa na mtu wa dini fulani basi wanaharibu na wengine wanjenga kwa kuwakandamiza wengine. Hi sio hali nzuri na watu kama hawa tuwaogope kama UKIMWI

Umehakikisha vipi hizo rasilimali zote ulizozitaja zimesajiliwa bara na si Zanzibar, au ndio tayari Zanzibar isha kuwa mkoa?
Waulize wafanyakazi wake, Bakhresa analpa vizuri maruporupo kulioko serikali ya CCM. AMKA MDINI. zungumzia ndege alie mikononi Tajiri wa Escrow anaewahonga watu mabilioni kwa kununulia mboga tu, je analipa kodi inayostahili? au kwa sababu anatoka dini ile na mkoa uleee

Baba wa Taifa Abeid Karume alituwasia EPUKA FITINA ZA KIDINI
 

tra wanakusanya karibu 400 billion kila mwezi sawa na 97% ya makadirio yao sasa kati ya hizo hao wala wala hoi wametoa ngapi ? Tusichezee na wafanya biashara na watu walojitolea kukopa na kuumiza vichwa vyao kwa madeni ili kusaidia nchii hii ili hao wala wala hoi wapate ajira.

Kodi wanalipa ila kama sio kwa kiwango kinachotakiwa inatokana na mfumo wa kodi kuwa wa kinyonyaji . Bila ya kukwepa kodi huwezi kupata faida au itabidi bidhaa ziwe bei juu ambayo walala hoi wata shindwa kununua.
Mfumo wetu wa uchumi unakua ikiwa kuna manunuzi , watu waki spend kununua ndio uchumi unakua na kodi inapatikana. Ikiwa bidhaa ni ghali kwa watu wa chini ambao ndio wengi basi viwanda na retail business itakufa na maana yake hakuna kodi ya kulipa.
Jiulize kwa nini uchumi super market wame shindwa kufanya biashara?
Jiulize sababu za bp petroleum walikitoa ?
Jiulize kwa nini shoprite walishindwa kuendela ?
Jiulize city mall kwa nini walifunga virago
sababu wao walikua wakilipa hio kodi halali na hatimae wakafilisika wakafunga virago.
Wafanya kazi wangapi wamesimamishwa kufa hizo kampuni? Kodi ngapi imepungua ?

Watu wana kwepa kodi kwa sababu kuna kodi za kukamua ...sio sawa kabisa.
Leo ukikata bima ya ku cover gari yako utatakiwa ulipe vat !! Unataka bima ya nyumba yako ulipe vat !!! Haya yanaongeza gharama tu za uendeshaji wa biashara
nyumba au biashara zikiungua bila ya bima kampuni zitafunga na wafanya kazi watarudi nyumbani na hakuna kodi tena ya kulipa.

Nina chosema kuna matatizo katika mfumo wa kodi zetu ambao unafanya watu wakwepe kodi.
 
Watanzania kwa nini mmejaa chuki, wivu na uzandiki? Badala ya kumsifia kwa ajira anayoitoa kupitia viwanda vyake mmekalia hayo.
 
Magufuli anavyosema wafanya biashara wakubwa hawalipi kodi na TRA haingaiki nao, anamaanisha anachokiongea wala hajaropoka

Ndio hawa akina Bakhresa, Manji, Dewji n.k

Mbona MENGI MNAMUOGOPA SANA KUMTAJA WAKATI NDIYE KINARA WA MAGUMASHI KWENYE BIASHARA ZAKE ,
 

We bana sijui hata unaongea madudu gani hayo, unadhani wewe tu ndo unafanya biashara eeh??
 

Serikali yeyote isiyokusanya kodi ni corrupt...serikali lazima ikusanye kodi!
 
Hapa napenda kuhitalifiana nanyi. Wafanya biashara wakubwa, wazalendo wa Tanzania, lazima wapewe preferential treatment inapokuja kulipa kodi. Hii ni kwa kuwapa moyo wa kujiendeleza zaidi, na kuwalea wanaoinukia. Vinginevyo watahamisha investment zao. Haiwezekani kwa mfanyibiashara mzalendo kushindana na mgeni kama hatapendelewa. Preferential treatment siyo Tax exemption.
Mataifa yote yaliyoendelea yanafanya hivi. In fact hata Balozi zao zinawasaidia mpaka kupata masoko. Natumaini Magufuli ana washauri wazuri katika hili. Kumbuka, mwenye fedha si mwenzio. Kitu gani kitamzuia Bakh kuhamisha invesment zake zote kuzipeleka Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…