Bakari Mwapachu anyemelea uenyekiti bodi ya ATCL

Habari za ulaji na upenda mabibi inamhusu Bakari waulize waliofanya kazi RTC kiwa BIT mkuu

Kinyamana, you have hit the nail on the head; ulaji wake na ufuska sio BIT tu kote alikopita; Mdondoaji ataita ni majungu lakini sio hivyo ukweli juu ya huyu bwana ndio huo.!! Hawa ndio aina ya wastaafu wakipewa madaraka wanashinda ofisini kuwasumbua watendaji kwani hawana kazi nyingine za kufanya!! Kumbukeni mambo ya mahujaji kulala airport wiki nzima yalioikumba ATCL yalisababishwa na nani? Bakari cannot be an exceptional bored mstaafu, I rest my case.

Kipindi cha mwapachu hakuna hata siku moja kulikuwa na kesi ya mahujaji kukwama acheni uongo. Mambo hayo yalianzia kwa Sanare na kuzidi kipindi Ole kambaine. Endeleeni na majungu yenu ila hamna vya kumpinga huyu jamaa he deserve the seat kwasababu rekodi yake pale ATC was eloquent and exemplary. Hakuna anayeweza kumfikia hata mmoja mnabakia kuleta biashara za majungu tu

Mdondoaji ni vizuri ukaelewa mabandiko kabla ya kujibu. Hamna mtu aliyesema mahujaji walikwama airport enzi ya ATC!! kilichoelezwa ni kwamba mahujaji walikwama kwenda kuhiji Mecca pale Julius Nyerere international Airport kwsababu mwanasiasa mzee mstaafu aliyekuwa mwenyekiti wa board ya ATCL aliingilia kazi ya watendaji na kusababisha adha kubwa kwa mahujaji na hasara kwa Taifa. Mambo kama haya yanaweza kujirudia kwani huyu Bakari Mwapachu ni mwanasiasa mwingine mzee mstaafu ambae kwasasa hana kazi baada ya kukataliwa na wananchi wa Tanga mjini kuwa sio mtu wa maendeleo. Hii ni tahadhali tunayoitoa kwa appointing authorites ilil wasije wakarudia kufanya makosa; waswahili wanasema KUFANYA KOSA SI KOSA, KOSA KURUDIA KOSA!! Kulifufua shirika la ndege wakati huu you need energetic and visionary aviation leadership of which Bakari does not possess.

Mkuu,

Question utendaji usiquestion umri wako hayo ni majungu tu na vijiba vya roho na husda. Kama angelikuwa mwapachu mzee na hakuwa kiongozi mzuri mwenye mawazo yatakayoleta mabadiliko yeyote ningelikubaliana na wewe. Ila kama huna cha kuqestion performance yake na ufanisi wake kazini basi hayo ni majungu.

Bakari Mwapachu is the best CEO by performance ATC tangu kuundwa kwake. Mafisadi ndio waliomtoa pale kwani alikuwa akiwabania wao na wasaidizi wao waliokuja na kampuni zao kihindi za uchwara kuja ati kusaidia kuboresha ufanisi kumbe ni mirija ya ufisadi. Kama huna points za kuuliza utendaji wake tafadhali kaa kimya kwani hamuifahamu ATC ilivyokuwa na inaelekea labda umetumwa kuanzisha thread ya kumchafua mzee wa watu. Ukitaka kumfahamu huyu mzee kaulize wazee waliokuwa wamefanya naye kazi kuanzia subordinates wake ofisini pale ATC mpaka dereva wake watakuambia alikuwa mtu wa aina gani. Nimewauliza ni CEO gani wa ATC aliyewahi kununua ndege mpya kwa fedha za kampuni, kujenga nyumba za kwa ajili ya staff wake kule Masaki, Oysterbay, Mwenge, Mikocheni , Msasani, Mwananyamala. Nyumba hizi wamejenga kwa fedha za shirika pasina mkono wa serikali hata senti tano.

Would you rather select a bogus Chairman au a chairman who had a good track record during the time he was as an employee of the corporation? Acheni majungu nyie hamuijui ATC Bakari Mwapachu was a best CEO ATC by performance kuliko hao wengine waliomfuatia.

Acha kutumia elimu yako kwa nguvu ili kudanganya umma wa watanzania. Huyu kama alifanikiwa ni kwa vile alikuwa chini ya raisi ambaye hakuwa na masikhara kwenye kazi zake. Kwa huyu JK ambaye ameajiri hata kina Riz 1 kuendesha nchi bila vyeo maalimu huu utakuwa ni mfereji tu wa kukusanya pesa za next election. I am trying to add up things na nitakuja na mchoro mzima hapa! Mwapachu haendi kufanya kazi pale, ni kuchota tu, poor old bud!

Haya maneno yanatisha na mazito kama ndio nia na malengo yake ndio hayo basi atajiharibia kwa baadhi yetu tunaomuangalia kama alikuwa CEO mahiri alipokuwa pale ATC. I hope he thinks twice about that but I still give him a benefit of doubt he deserve that post. Tunakusubiria mkuu utumwagie madata hapa.

Bakari does not have to think twice because he is seeking the appointment, the people who are supposed to put the national interests ahead of personal interests are the appointing authorities!! But they have been warned; na waziri Nundu awe tayari kwa kibano toka kwa wabunge wa mikoa ta Kigoma, Tabora na Mtwara kwani adha ya usafiri itakuwa mbaya zaidi!! Mdondoaji is doing a great disservice to this old man by asking for his dirty linen to be washed in public!! Hawa wazee wa toka enzi ya ujamaa wana maloloso mengi sana kabatini mwao, yasije yakamwagwa hapa wakapata ugonjwa wa moyo bure; watu tukashitakiwa for cybermurder!! Unakumbuka account za Chenge zilivyoanikwa hapa, usicheze na JF ni moto wa kuotea mbali!!

Tunazisubiria data mkuu usihofie kivuli chako mkuu we deserve to know as it is a matter of national interest kwani ufisadi umekuwa janga la kitaifa sasa. Mie mwapachu namjua kama alikuwa CEO mzuri alipokuwa pale ATC tena ndie the best CEO aliyeperform vizuri kushinda MaCEO wote waliowahi kuongoza shirika lile sasa wewe lete madata mkuu.

Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa Bakari mwapachu, yule mzee aliyeshindwa ubunge na Omar Nundu kule Tanga analobby Kikwete amteue kama mwenyekiti wa shirika la ndege la ATCL. Ukweli ni kwamba kama kweli hawa jamaa wanalitakia kheri shirika hili hawatathubutu kuchagua mwenyekiti wa bodi mchovu kama alivyo Mwapachu.

Makosa yalishafanywa huko nyuma kwa kumpa uenyekiti Mistapha Nyang'anyi sidhani kama Kikwete atakuwa na ujasiri wa kufanya makosa mara mbili baada ya vioja alivyofanya huyo bwana kuhusu kuwapeleka mahujaji Mecca!! Bakari hostoria ya utendaji wake haioneshi kuwa anaweza kuimarisha shirika la ndege; huyu bwana ni mtumiaji sio mzalishaji.

Ujasiri JK anao wa kumpa, kwani alipompa Mataka U-managing Director hakujua kama ni makosa. Mkuu ulitakiwa kusema hudhani kama JK atakuwa na ujasiri wa kumpa mtu mwingine zaidi ya Mwapachu kama kweli Mwapachu anautaka wenyekiti wa bodi

Mkuu,

Tunazisubiria data mkuu usihofie kivuli chako mkuu we deserve to know as it is a matter of national interest kwani ufisadi umekuwa janga la kitaifa sasa. Mie mwapachu namjua kama alikuwa CEO mzuri alipokuwa pale ATC tena ndie the best CEO aliyeperform vizuri kushinda MaCEO wote waliowahi kuongoza shirika lile sasa wewe lete madata mkuu.

wewee tafuta data acha kusema nafikiri kama Pinda. Hutakiwa hujaji kwa kufikiri-gut feeling utachemsha na kuchekwa, ukiwa na data za CEO wote walivyo-perform then you can judge

Back
Top Bottom