Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

BAK embu huyu mrembo mpige lidedikesheni la mwimbo wa Inspecto Haroun....'zali la mentali limenidondokea'.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Ha ha ha ha

Bana eeh, alinikanya kuwa anamsubiri Heloo

Nikasepa zangu

unammunyamunya, looo
nakumbuka kuna wakati ulikuwa unamsasalia BAK
unajibandika kwenye plate number ya gari yake, looh
uliishia wapi.
 

hivi hii bahati ingekuangukia wewe
ungesemaje?!!maana na mimi shukrani zangu
kwako zipo njiani hahahahaaa!!!!


ha ha ha ha ha ha!!!!!!! mimi ingekuwa kama party ya kimya kimya,,,,,,,, siunaona humu mashabiki wanakuwa na nguvu kuliko walengwa wenyewe.
ila nitanenepaje siku hiyo.

cc; Kongosho , snowhite , BAK
 
Last edited by a moderator:
Bishanga huoni wivu? Maana nnavyokujua ndugu yangu wewe kwa majilasi!
 
Last edited by a moderator:
Partner, wajua akilini mwangu na moyoni mwangu,
Hakiingii kingine, zaidi yako wangu,
Kongosho si wangu, yeye wake mzungu,
Usihamaki ukaumia, ukaja ntia machungu,

adhabu yako sikuandikii verseili ili iku nyingine usirudie kumsololesha mtu mbele yangu!
cc Kongosho
 
Last edited by a moderator:
ahahhahhahah Fixed Point na BAK wanaitana hendisamu na cutie!\
hilo moja !
lakini la pili ni kuwa bak siku hiz anaitwa LIFE SAVER!\
hz habari zote mbili una taarifa nazo mwanafunzi wangu!?

Mwalimu wangu siku mbili hizi hadi ziara ya Pinda iishe huku Ruvuma, ni lizombe na shot-kulia one-two kwa kwenda mbele, sasa yanajojiri hapa mjini sijayajua bado
Fixed Point ni shemeji yangu mpenzi na rafiki yangu, hajanambia bado hii makitu,

na je mkuu mwenzangu Dark City ana habari hizi! Chinekeeee angalieni jamani msije mkaleta madhara mtumbwi wenyewe huu hauna maboya ya life saving!
 
Last edited by a moderator:
jishikilie......
halafu kwani mnazungumza nini? maana nilipotea kidogo, kama siwaelewi vile
 
Nipo mdogo wangu, ingawa robo robo maana vibosile wametuvamia si pole pole yaani.
ha haa, hilo dongo lajua la kiuchokozi, tutamaliziana chumbani, lol!
pole sana my dear friend, yana mwisho
 
ha haaa, rafiki naona tunaachanaga tu.....
basi mtakapoenda kumchuna BAK na mimi msinisahau, sitawaaibisha, I swear
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mwambie mdogo wako asiikopi πŸ™‚πŸ™‚ na kuingia huko ni kwa masaa 24 tu πŸ™‚ akimaliza atakayoyasoma huko ayaache huko huko πŸ™‚πŸ™‚ na nikigundua kuna mtu kaingia baada ya masaa 24 ambayo mdogo wako amepewa ruhusa ya kuingia na kusoma pm zote basi nitakuomba ucreate a new password πŸ™‚πŸ™‚ LoL!!!!

snowhite njoo uchukue pw ya bak kanipa ruhusa nikupe....
ukajisomeage huko huko mwenyewe
 
ha haaa, kumbe nina funguo za kutengenezea pw yako?
raha hii jamani, lol!
haya nitafikisha ujumbe
 
Reactions: BAK

Kumbe BAK ameshakuwa bidhaa adimu kama enzi za dula la ushirika la kijiji??

Haya bwana....

Mie nilipita kusalimia...ngoja niendelee na kikao cha jopo la kuokoa uhai wa mwanamume mwenzetu na swahiba wangu Mr Mbu...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
lol! unapenda kuchuna eeh!! πŸ™‚πŸ™‚ haya banaaa mutoto wa mujini. Tena shurti uchunaji wa kundi LoL!


ha haaa, rafiki naona tunaachanaga tu.....
basi mtakapoenda kumchuna BAK na mimi msinisahau, sitawaaibisha, I swear
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…