Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Yaani sijui kama nitaeleweka bila kuleta madhara humu..ni kwamba kwa kipindi kirefu kidogo tangu nijiunge humu pamoja na kwamba wengi ni wakalimu na wenye upendo,ila naomba leo special appreciation imfikie MR BAK!
Yani pamoja na kwamba wengi humu hatujuani wala kufahamiana ila moyo wangu unakuwa na ile shauku ya angalau nimuone na kumshukuru kama si kumuona tu!
Nasema ivyo kwa sababu nyingi tu chache ni kwamba kaka huyu ni mwelewa hata ungekuwa na shida kiasi gani kuhusu ushauri ni wa kwanza kukufariji!pale wengine watakapokuponda nakukutenga ama kukukatisha tamaa yeye atauunganisha na wibo wa kufariji..sasa basi yote hayo si kwangu tu ninyi ni mashahidi amekuwa mfariji mkuu humu....watu huwa hawajui roho nzuri ya mtu huonekana hata kwa maandishi na hisia zake kwa jambo linalomkuta mtu!
Sasa sijui kama kuna siku naweza kumuona basi hata nikishindwa picha yake itanitosha walau numuone
Thankyou so much for your kindness and hospitality along the way! you are a life saver!
 
Mhhhhh! BAK a life saver!!! Kuna ule msemo unaosema kwamba "treat people the way you want to be treated" najitahidi sana hasa kwenye kutoa ushauri kutoa ushauri ambao naona unajenga badala ya kubomoa. Kama binadamu siko perfect hivyo hapa na pale nimeteleza, pamoja na hayo nimefarijika sana kusikia kwamba nimekugusa kiasi hicho na kupenda kutaka kuonana nami. Tuombe uhai Heloo waswahili husema milima haikutani bali binadamu hukutana penye majaliwa iko siku tutakutana kukaa chini mahali na kuongea mawili matatu kuhusu jambo lolote lile. Shukrani sana kwa kunipa sifa kubwa kiasi hicho.
 
BAK naona nyota imekudondekea,bahati haiji mara mbili,maneno yake tu mwenzio yanaonyesha kabisa yamejaa volume ya upendo kiasi gani,yaani hapo fanya hima tu kama hujaoa muwe zaidi ya marafiki

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
RAFIKI!
nakushangaa mpka sasa hujaweka wimbo!
we naweeeee!
ukipatamo mipwenti eneo komaa nayo!
oh!sasa unaandika mineno tuu badala ya kutuwekeamo masongi!
ehehehehhehehe kitu cha life saver mchezo!
 
Mhhhhh! BAK a life saver!!! Kuna ule msemo unaosema kwamba "treat people the way you want to be treated" najitahidi sana hasa kwenye kutoa ushauri kutoa ushauri ambao naona unajenga badala ya kubomoa. Kama binadamu siko perfect hivyo hapa na pale nimeteleza, pamoja na hayo nimefarijika sana kusikia kwamba nimekugusa kiasi hicho na kupenda kutaka kuonana nami. Tuombe uhai Heloo waswahili husema milima haikutani bali binadamu hukutana penye majaliwa iko siku tutakutana kukaa chini mahali na kuongea mawili matatu kuhusu jambo lolote lile. Shukrani sana kwa kunipa sifa kubwa kiasi hicho.

mi na ushosti wote hujawahi kuniandikia post ndefu hivi!
cha!
leo kweli ni jumatatu asubuhi!
sijui uko wapi walahi!
 
Mpatie japo picha iendelee kumfariji wakati mkisubiri kuonana live
 
mi na ushosti wote hujawahi kuniandikia post ndefu hivi!
cha!
leo kweli ni jumatatu asubuhi!
sijui uko wapi walahi!
umeona eehhh!
unaweza dhani upo jirani sana na mtu kumbe waalaaaaaaaaaaaaaaa.......
Hongera sana rafiki yangu BAK kwa haya mapwenti..... ila hata mimi huwa nakusoma sana na nakukubali kwa kufariji.... keep it up
 
Last edited by a moderator:
Yaani sijui kama nitaeleweka bila kuleta madhara humu..ni kwamba kwa kipindi kirefu kidogo tangu nijiunge humu pamoja na kwamba wengi ni wakalimu na wenye upendo,ila naomba leo special appreciation imfikie MR BAK!
Yani pamoja na kwamba wengi humu hatujuani wala kufahamiana ila moyo wangu unakuwa na ile shauku ya angalau nimuone na kumshukuru kama si kumuona tu!
Nasema ivyo kwa sababu nyingi tu chache ni kwamba kaka huyu ni mwelewa hata ungekuwa na shida kiasi gani kuhusu ushauri ni wa kwanza kukufariji!pale wengine watakapokuponda nakukutenga ama kukukatisha tamaa yeye atauunganisha na wibo wa kufariji..sasa basi yote hayo si kwangu tu ninyi ni mashahidi amekuwa mfariji mkuu humu....watu huwa hawajui roho nzuri ya mtu huonekana hata kwa maandishi na hisia zake kwa jambo linalomkuta mtu!
Sasa sijui kama kuna siku naweza kumuona basi hata nikishindwa picha yake itanitosha walau numuone
Thankyou so much for your kindness and hospitality along the way! you are a life saver!

Yuko YouTube anakutafutia dedikesheni
 
He he he he, sikujua kama una aibu kiasi hiki

Umeshindwa kusema 'come zis way'?

Mhhhhh! BAK a life saver!!! Kuna ule msemo unaosema kwamba "treat people the way you want to be treated" najitahidi sana hasa kwenye kutoa ushauri kutoa ushauri ambao naona unajenga badala ya kubomoa. Kama binadamu siko perfect hivyo hapa na pale nimeteleza, pamoja na hayo nimefarijika sana kusikia kwamba nimekugusa kiasi hicho na kupenda kutaka kuonana nami. Tuombe uhai Heloo waswahili husema milima haikutani bali binadamu hukutana penye majaliwa iko siku tutakutana kukaa chini mahali na kuongea mawili matatu kuhusu jambo lolote lile. Shukrani sana kwa kunipa sifa kubwa kiasi hicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom