Nimelisoma gazeti la citizen,kumbe Kenya inasimamia asilimia 94 jumla ya bajeti yake kupitia makusanyo pamoja na wakopeshaji wa ndani Kwa ndani ,wengine hao Tanzania,Rwanda,Uganda wote hovyo makajamba naniliuuu.......ni misaada na mikopo tupu.
Mamaeeรฉ