Bajeti yako ya wikiend ni kiasi gani?

Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika.

Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo. View attachment 3315289
Karibisha na maoni ya watumbua kwa urefu wa kamba,halafu linganisha na mswaga mawe,mvuja jasho na mlipa kodi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…