Bajeti ya wizara ya miundo mbinu yakataliwa

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Kamati imegomea budget ya wizara ya miundo mbinu kwasababu hakuna fund allocation kwa TRL, ATCL na wakala wa meli.

Wizara inadai hakuna pesa wakati huo huo wizara ya fedha yenyewe ina allocation ya Billion 424 kwa ajili ya contingency wakati TRL inahitaji billion 240 tu ili ku revive.

Mungu wape viongozi wetu hekima, busara, upeo na huruma
 
Inaelekea huyu Nundu hii wizara itamshinda kwani naona kama mambo yanamuelemea!!
 
Back
Top Bottom