Bajeti ya wizara ya mifugo na uvuvi yawasilishwa.................

MAKAH

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,582
265
waziri katoka kuwakilisha bajeti - je bajeti hii ime cover masuala nyeti kwa wafugaji wetu hasa wa ng'ombe wa nyama kikamilifu?

> migogoro ya wafugaji na wakulima - mbinu gani zipo za ku mitigate
> msululu wa mashirika ya nje tumeyatumiaje katika kubuni miradi na mipango ya ku develop range lands kwa wakulima wetu
> vyuo vipo au vilikufa vya kusomesha watalaam wa range management ambao ndo maafisa ugani wa hawa wafugaji wetu ambao kila kukicha wanahangaika kutafuta malisho ya mifugo yao

> nakadhalika

tuendelee kufuatilia
 
Back
Top Bottom