Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,522
Bajeti ya sherehe ya Kuwaaga Waheshimiwa Madiwani itakayofanyika kata ya WAZO inatoka fungu gani la bajeti?
Katika vitu huyu mama hajali ni matumizi mabaya ya fedha ,hana hata muda wa kufuatilia ndio maana watu wanajichotea tuViungo ni laki sita aisee ni viungo gani hivyo wamekuwa wahindi kwa viungo vingi.
Na dharura ni kitu gani tena
View attachment 3360354
Bajeti ya sherehe ya Kuwaaga Waheshimiwa Madiwani itakayofanyika kata ya WAZO inatoka fungu gani la bajeti?
Yani nimechoka ni kwamba kila mtu anajipigiaKatika vitu huyu mama hakali ni matumizi mabaya ya fedha ,hana hata muda wa kufuatilia ndio maana watu wanajichotea tu
OkayNo reforms no election
Kwanini Bado wanatumia kuni na mkaa?Okay
Kwa ajili ya kuchoma nyamaB
Kwanini Bado wanatumia kuni na mkaa?