Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!
hospitali ilianza kujengwa 1985 kwa hiyo JD akifanya fund raising jengo linaweza kwisha 2015
baada ya hapo bajeti ya 2015/16 serikali itamwita tena Kingwendu kufanya fund raising ya vifaa na vitanda
ni mipango mizuri ya sera za CCM.
Poor minded! Usiwe kama juha! Thamini cha nyumbani!
Kama ni Mil.2 Lukuvi asiumize kichwa anitafute nitafadhili hiyo project kwa 100%.hawa mawaziri wangekuwa kila siku wanapigwa aswali ya papo kwa papo ingekuwa balaaa....maana hata lukuvi jana alipaka rangi upepo kwakusema eti tsh. million 2 ni kwa ajili ya kukarabati madaraja na barabara zilizoko nyumbani kwa waziri mkuu........upuuzi wa mwaka
yaani kuwasikiliza hao mawaziri ni kujitafutia hasira tu
unaweza ukashindwa kula bure...
Mmh nina wasiwasi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo,watt km nyie hata mkipewa assignment ndogo tu mnashiwa ni sawa na shabiki wa mpira anavyomkosoa mchezaj akiwa uwanjan angal yy hajaw cheza hata mechi ya utoton
Ukiambiwa mawazo yako yanafanana na avatar yako unakua mkali,jitahidi siku moja moja kuongea point,sio kila siku pumba tuPoor minded! Usiwe kama juha! Thamini cha nyumbani!
Hahahaha hapo ndo mwisho wako wa kufikiriWewe utachoka kubadili majina juzi tu umejiita Engineer.
naanza kuhofia umeandikiwa mpaka unasahau watu wanachangia nn au unataka utafuniwe kila kitu vingine usome kisha tafakarInawezekama uko sahihi, maana hata post yako nimeshindwa kuilewa kama ulikua unachangia kuhusu nini
Bila shaka wewe utakuwa ni mjukuu wa matonya,aliekuwa omba omba maarufu.Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Watawaomba orijino comed.JD akigoma je watamwomba Bambo awasaidie kweli ukistaajabu ya Musa njoo bungeni.
Eeeh mkuu hata boma bado,nafikiri wajenzi watakuwa ni mchwa sio watu.Ujenzi ulianza tangu 1985!!?
Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!
hospitali ilianza kujengwa 1985 kwa hiyo JD akifanya fund raising jengo linaweza kwisha 2015
baada ya hapo bajeti ya 2015/16 serikali itamwita tena Kingwendu kufanya fund raising ya vifaa na vitanda
ni mipango mizuri ya sera za CCM.