Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.
Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
yaani kuwasikiliza hao mawaziri ni kujitafutia hasira tu
unaweza ukashindwa kula bure...
Kwa akili hizi za watu wa ccm ni ngumu kufika kule tunataka tufike(maendeleo)ni kuwaondoa madarakani tu,uwezo wa kuiondoa ccm madarakani tunao,sababu za kuindoa ccm madarakani tunazo,nia ya kuindoa ccm madarakani tunayo,shime watanzania wenzangu 2015 kazi ni moja tu. Go to hell ccmAkijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Poor minded! Usiwe kama juha! Thamini cha nyumbani!wanamuziki wa marekani wana Lebo wewe acha ujuha. Jaydee ana Label gani ya kumfanya achangishe mpunga wa kujenga hospitali? hivi ukisikia Jay Z ni Balozi wa UN unadhani ni sawa na Machozi Band?
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
JD akigoma je watamwomba Bambo awasaidie kweli ukistaajabu ya Musa njoo bungeni.Hapa Waziri alichemsha, ... eti watmwomba Miss Tz na Lady Jaydee wasaidie kuchangisha! Na mbunge akaridhika? ubabaishaji wa hali ya juu!
JD akigoma je watamwomba Bambo awasaidie kweli ukistaajabu ya Musa njoo bungeni.
Hivi na wewe unajiita great thinker au sinker kwanza fund rising ni kitu gani, unaijua bajeti ya marekani au unaidhania, unafikiri ni kama bajeti ya fiesta ya kuendeshwa kwa fund raising ya wanamziki poor thinking at its best.Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga