Bajaji katika "highway towns"

Injinia

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
849
Reaction score
28
Hivi karibuni nilikuwa naelekea Arusha kutoka Moshi nikapita mji mdogo wa Boma Ng'ombe ambao ni "highway town" nikashangazwa kupishana na bajaji kibao zilizobeba abiria zinakatiza barabara, jambo ambalo niliona ni hatari kwani lile eneo lina magari mengi na pia kituo maarufu kwa magari makubwa ya mizigo.
Je wenzangu mnalionaje hilo? Hakuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati na kutoa mipaka ya hivi vidude?
 
Anayepita kwa gari hapo Boma, alama zinaonesha aendeshe kwa speed gani?
 
Boma Ng'ombe kama sikosei ni 80 kph, halafu twd Kikafu bridge ndio 50 kph
 
kwa kweli mi siungi mkono, kwa sababu nyingi tu mojawapo ni kuwa madereva wake sio competent drivers, ndo maana kila inapotokea tatizo wanakuwa wa kwanza kukimbia polisi hata kama makosa sio yao. hivyo sidhani kama wana qualify kuendesha highway.

hata kwa wale waliotembelea nchi ambazo bajaj zimeshika hatamu, bado haziruhusiwi sio tu kwenye highway bali hata kwenye barabara fulanifulani kama vile zinazoelekea airport au airport kwenyewe. hii sio tu kwa sababu ni mbaya kuzitazama lakini ni kwa sababu ya uwezo wake mkubwa uliokuwa nao wa kupolute mazingira ya barabarani kama zikiruhusiwa.

mi nadhani bajaj ziendelee kuwa barabara za uswahilini kwa sababu hata speed yake haitarishi waendao kwa miguu
 

I bet I should agree with you

cheers
 
Tusiendekeze njaa zetu zitatuua. Bajaj katika hghway ni very unsafe.
 
Hivi Bajaj ukienda nayo Dodoma toka dar utafika?? Baada ya siku ngapi??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…