Nilidhani ni mimi pekee yangu kumbe 'waogawamali' tupo wengi. Mtu anaendesha biashara inakuwa maarufu kiasi kile lakini hakuna hata mtu mwingine aliyejaribu hata kuuliza wapi jamaa anapata vitendeakazi kama hizo baiskeli achilia mbali kujaribu kuifanya biashara yenyewe. Wazalamo tumebaki ya lambalamba zetu za kupima kwa kijiko na chekeche mkononi ajabu bado tunajiita wajasiriamalia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.