Baisaa Ya Oman

Baisaa Ya Oman

hozev_tarimo

Member
Joined
Dec 22, 2017
Posts
15
Reaction score
4
Samahani wadau mimi na Baisa 100 ya Oman jee ni wapi naweza exchange Nime endaa badhi ya exchange za Tanzania zinakataa nafanya vipi?


download.jpg
 
Keyword .Oman. Nje ya mada hivi oman na dubai si zipo karibu kijiografia?
 
Banks Tele Unabadilisha, Wewe Upo Wapi?
Ngara , Zanka, Mtipweshi, Chitoholi Ama
 
Banks Tele Unabadilisha, Wewe Upo Wapi?
Ngara , Zanka, Mtipweshi, Chitoholi Ama
Nime enda exchange jana Kariako na bank ya Azania wamesema hawa exchange Baisaa sehem mbili wamekataaa ndio nashangaaa
 
Kwa uzoefu wangu, nibela ya Oman ndio Huwa inakubaliwa Burue de Change
 
Baisa ni pesa ndogo sana,pesa ya OMAN inayobadilishika kirahisi ni rial,na ndio pesa yenye thamani,Rial 1=1000 baisa,maana yake wewe hapo una Rial 0.1 ambayo kwa pesa ya tanzania ni sawa na 650 tu,nani akubali kubadili?
 
Back
Top Bottom