Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Dah! si mchezo yaani mpaka sasa nimeshindwa kuelewa ni ushamba wangu wa mapenzi,utaalamu wa yule binti au uchawi! nilikwenda Tanga kununua biashara fulani hivi basi nimejikuta nikikolezwa na penzi la mcheza baikoko mmoja na kuitumia hela yote ya msingi,hapa nilipo nimechoka kifedha na kiakili,mpaka kurudi hapa Da sa am,imenibidi niweke bond cheni yangu kwa kondakta ili niweze kupanda basi lao na kurudi nyumbani.
Angalizo:kwa wanaokwenda Tanga angalieni yasije yakawakuta yaliyonikuta mimi.
Nalog off
Angalizo:kwa wanaokwenda Tanga angalieni yasije yakawakuta yaliyonikuta mimi.
Nalog off
Last edited by a moderator: