Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Vipi marekani hawaendi popote?Huwa naona walioleta siasa ya vyama vingi walikuwa na lengo la kututofautisha lugha ili tukwame kama ilivyokuwa kwenye mnara wa Babeli sababu hata yule aliyeshindwa atabaki kuwa Rais wa wale walioshindwa na akiongea kitu wafuasi wake wanamtii kwahiyo automatic kunakuwa na marais wengi kwenye nchi. Inafika hatua Rais wa nchi anasema hivi na huyu mwingine anasema vile matokeo yake hamuendi popote.
Mch Mtikila alitabiri hili mapema. Now wamebakiza nchi mbili tu kwa EA. Mojawapo ikiwa Kenya na kule kwa NkuluINAONEKANA WAZI KUWA NCHI ZOTE ZA EAST AFRICA ZINAPANGA HUU UHUNI KISIRI ILA UHURU KENYATTA NAONA HAKUBALIANI NAO
Yule sio mhima, ndio maana wenzie walitaka kumpinduaRais wa Burundi ni Mhima pia..??
Uwe unafanya due diligence kabla ya kupost kitu ambacho huna uhakika
Leo mshana kachemka. Hajui Hima empire dreamers ni akina nani na ni kitu gani! Huenda pia baadhi ya thread anazoanzisha hazina credibility!Rais wa Burundi ni Mhima pia..??
Uwe unafanya due diligence kabla ya kupost kitu ambacho huna uhakika
Huenda...! Pole sana ndugu yangu.. Naomba nakushauri jambo moja rahisi sana.. Hebu chukua dakika chache ufuatilie replies zote kwenye huu uzi.Leo mshana kachemka. Hajui Hima empire dreamers ni akina na ni kitu gani! Huenda pia baadhi ya thread anazoanzisha hazina credibility!
Wao wanasababu zao za kuileta demokrasia kwa faida zao wenyewe.Vipi marekani hawaendi popote?
Habari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala
Sitaki kuijadili Burundi kama taifa huru bali Burundi kama sehemu na mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki...
Hii ni nchi mwanachama wa tatu katika nchi 6 zinazounda umoja huu (sijataja Sudan bado impact yake ni ndogo) Tayari Uganda chini ya Kaguta na Rwanda chini ya Kagame marais wake wamejirasmisha utawala wao kupitia chaguzi bandia..
Nani anafuatia!? Kenya? Kongo? Tanzania? Yeyote atakayefuatia kujiunga na huu udhalimu ile BAHIMA EMPIRE itakuwa imezaliwa rasmi....
Huenda...! Pole sana ndugu yangu.. Naomba nakushauri jambo moja rahisi sana.. Hebu chukua dakika chache ufuatilie replies zote kwenye huu uzi.
Sorry I take full responsibility of what I wrote not what you translate. . so you can write anything to quench your ill-feelingUngetupia humu na chanzo cha taarifa yako ili tuhakiki maana nyie watutsi mnakerwa sana na huyu bwana mpaka mnamzushia, mmeanza kumuita mhima ili kukuza chuki za kikanda- call your dog a
Ni kweli leo umechemka
bad name so you kill it
Sometimes JF is very boring....Mbona mnapenda kipeana hofu za ajabu?
Hima(bahima) ni jamii ya Tutsi ambao ndio wafugaji,
Kwa madai yenu huwa mnadai Rais Magufuli ni Mhutu, sasa mnamwekaje kwenye kundi la Bahima ilihali yeye ni Mhutu kwa mjibu wenu?
Ingekuwa na mantiki labda tungeona magufuli ana ukaribu sana na rais Pierre Nkurunzinza, ambaye ni Mhutu, kuliko alivyo na kagame na mseveni.
This is a mythical conspiracy!!
Jibu hoja yangu mkuuSometimes JF is very boring....
Yeah!! That's a double emphasis!!Umeshasema ni mythical conspiracy..!! What a judgment you made...!!! Nimekosa jibu
Ulishafanya conclusion tayari sasa argument itatoka wapi tena! Labda hebu rudia kusoma ulichoandika kama kinaweza kuwa na msingi wa majadilianoYeah!! That's a double emphasis!!
My arguments are clear right there, therefore I need your argument too!!
This is just a discussion and not an Olympic athletics!!