Bahima empire almost there...!!!

Pierre ni mhutu sio mtusi ambao ndio wenye chain ya bahima,
Afu ukiangalia kwa kias fulan wahima wamekuwa wakimtenga pierre.

Jaribu kuangalia uhusiano wa pierre kwa kagame na m7 jibu liko wazi sio mshirika hata chembe
 
Iko hivi ameachwa makusudi baada ya kukosa mbadala wake na kuna compromising situation itakayomfanya asifurukute.... Lakini pia Kumbuka ya Afrika kusini si kila mzungu alikuwa adui wa weusi na si kila mweusi alikuwa adui wa wazungu
 
Watutsi sio watu hata kidoho
 
Tatizo wananchi wa kongo sio wamchezo mchezo wakiamua kukinukisha wanakinukisha haswa.mi nahiso tunafuatia sisi
 
Huwa naona walioleta siasa ya vyama vingi walikuwa na lengo la kututofautisha lugha ili tukwame kama ilivyokuwa kwenye mnara wa Babeli sababu hata yule aliyeshindwa atabaki kuwa Rais wa wale walioshindwa na akiongea kitu wafuasi wake wanamtii kwahiyo automatic kunakuwa na marais wengi kwenye nchi. Inafika hatua Rais wa nchi anasema hivi na huyu mwingine anasema vile matokeo yake hamuendi popote.
 
Hivi kwa nini like huwa hazi zidi 5 kwa kila mada?.
 
Hivi kwa nini like huwa hazi zidi 5 kwa kila mada?.
 
Naona kabisa Magufuli anakaribia kuinhia kwenye kundi hilo japo 'ameishakataa' (kinafiki) kutongangania madarakani. Hatimaye ukanda mzima wa EAC utakuwa EAC Kingdom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…