Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Hahahhahahahaha. Labda wadogo kifikraKuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Hahahhahahahaha. Labda wadogo kifikraKuna vidada vimekula chumvi humu ila kwa kujidogodesha sasa
Wewe 36. Damu inachemka hadi karibia ku-evaporateBahatisha wa umri wangu
Huyo ana umri kama wa mzee Mangula. Hahaa
We mie nna 37 utanipata wapiUlidhani mm mdogo km ww?!
Wewe 36. Damu inachemka hadi karibia ku-evaporate
Vp nimekosea..Aisee..
U wish u wea 37...usingekuwa na mapozi km una 19We mie nna 37 utanipata wapi
Kichwa kichafu mwaka jana alikuwa na miaka 16, mwaka huu itakuwa kaingia mwaka wa 17.
Duuuu sawaAaa wapi.... utasubiri sana. Yawezekana nimesoma na baba yako.
Mapozi ni sifa ya mwanamke haina umri atiU wish u wea 37...usingekuwa na mapozi km una 19
Hongera Dear , kumbe jua limezama namna hiyokuna wengine wanajikuza kumbe ndo kwanza wapo chuo frst yr!andika zao tu full shidaa! nashukuru Mungu na miaka yangu 48 si haba !inanitoshea




AVATAR ya Jembekillo ni hatari, wanaume wamebanana matakoni
Wewe una 29. Bado unaita kabisaHongera Dear , kumbe jua limezama namna hiyo![]()