Bahati . . . . .!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Hili ni neno la kiswahili lakini sijui hasa linalenga kitu gani.Nilizaliwa nikalikuta linatumika nasikia watu wanasema,"aaah jamaa amepata bahati ya kupata mke mwenye tabia njema" au unasikia "aaah yule dada amepata bahati ya kupata kazi kwenye ile kampuni".Jamani naombeni walau kidogo mnisaidie,Bahati ni nini?Ni kitu gani?Inatokeaje?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Bahati ni mimi na wewe!

Fafanua bana mimi na wewe kiaje?Mi naamini unanistahili na mimi nakustahili.Tunatoshana,sijakosea kukupenda usingekua wangu tusingekua pamoja.There is billions of ladies out there,but nimekuchagua wewe kwa sababu unanistahili.In short nilizaliwa kwaajili yako nawe kwaajili yangu TU,bahati inakujaje na ni nini?
 
Ni kitu ambacho kimetokea au umepata bila kutarajia. Ndiyo maana wanasema bahati nzuri au bahati mbaya.
 
luck. sometimes we have people in our lives who are very good, these are rare we didn't do anything to deserve them, e.g. I once gave my friend my money to keep in his a/c bcoz i hadnt open mine yet. he didnt run away with it and gave it back to me after a few weeks (true story). i consider myself lucky since I met him bcoz he liked my ringtone and our friendship grew from there. i didn't know back then (2007) we would end up as best buds and I know some people are really sh1tty, so to find a friend as good him is a rarity and considered luck.
 
Ni kitu ambacho kimetokea au umepata bila kutarajia. Ndiyo maana wanasema bahati nzuri au bahati mbaya.

Kitu kuja bila kutarajia mi kwa ufaham wangu ni kuwa,jambo au kitu hicho ni chako,kinakustahili,ni taarifa tu ulikosa.Hii ndo Bahati kweli?
 
Fafanua bana mimi na wewe kiaje?Mi naamini unanistahili na mimi nakustahili.Tunatoshana,sijakosea kukupenda usingekua wangu tusingekua pamoja.There is billions of ladies out there,but nimekuchagua wewe kwa sababu unanistahili.In short nilizaliwa kwaajili yako nawe kwaajili yangu TU,bahati inakujaje na ni nini?

Waooh; l love those words, we deserve each other!
 
Fafanua bana mimi na wewe kiaje?Mi naamini unanistahili na mimi nakustahili.Tunatoshana,sijakosea kukupenda usingekua wangu tusingekua pamoja.There is billions of ladies out there,but nimekuchagua wewe kwa sababu unanistahili.In short nilizaliwa kwaajili yako nawe kwaajili yangu TU,bahati inakujaje na ni nini?
Baby braza hii twisheni ya kuimbisha lazma mwaka huu tupige cha ubwabwa. Kaunga hachomoki aisee, swaggzzzzz
 
Luck is any things which come after success, achievement, accomplishment, triump,victory, conguest, winner and sensation
 
Eiyer ma lito bro kwanza nisalimie manake siku nyingi hujanisalimia.
bahati ni kile kitu ambacho unakipata pasi kutegemea na wala hakaikuwa haki yako hata kidogo ila tu Mungu amependa kukupa wewe na mara nyingi sana hii huambatana na mrejesho yaani Mungu huangalia kama hutakitumia kama alivyokusudia basi antakichukua pasi wewe kujua.

mfano mimi katika maisha nilipata bahati ya kupata watoto. kwanini kwangu mimi nasema ni bahati? kasababu sijawah hata siku moja kumuomba Mungu anipe mtoto. wala mimi na mume wangu hatukuwah kukaa na kupanga kwamba sasa hapa tunataka mtoto it happen just like that na tukakubali kwa furaha watoto tuliopewa. ni jukumu letu kuwalea vzuri ili wawe baraka kwa familia, kanisa hata taifa kwa ujumla. kwakulijua hilo huwa namwomba sana Mungu kusudi lake litimie ndani ya wanangu na namshukuru kwa watoto aliotupa.
 
Last edited by a moderator:
Hivi bahati na 'neema ya Mungu' ni the same thing? gfsonwin

Success is when preparation meets opportunities. I don't believe in lucky, I believe in the Grace of God and preparation.
 
Last edited by a moderator:
duh......niko tuisheni hapa wandugu

endeleeni kukamua haya mashule kwani nahisi mwisho wa lecture hii kifutatacho ni quiz

bahati bahati......i really dunna what it is but I know it exist
 
Hivi bahati na 'neema ya Mungu' ni the same thing? gfsonwin

Success is when preparation meets opportunities. I don't believe in lucky, I believe in the Grace of God and preparation.
King'asti neema ya Mungu ni kitu ambacho Mungu anakupa pasi hata justaili kukipewa na mara nyingi waswahili hulichanganya na bahati. ila kwangu mimi huwa najua hii ni neema na nikiileta kiswahili naiita ni bahati.
 
Last edited by a moderator:
Gfsonwin 'haki' ya mtu ni ipi, ili tujue kisicho haki ni kipi? Uzazi ni majaliwa ya Mungu na pia ni mpango wake pia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom