Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,321
- 17,821
"Bahati" ni very relative kwa maoni yangu as inaweza kulead kwenye 'good au bad outcomes"
watu wana judge outcome ya kitu flani au tukio kama bahati zaidi kwa kuangalia postivie outcomes tu kama alivyosema mleta mada hapa
Ila 'bahati mbaya' huwa ipo pia pale mambo yanapokuwa kinyume. na niseme tu kuwa ili tukio liwe bahati lazima likidhi vigezo kadhaa ambavyo nadhani mojawapo ni ile kutokea kwa tukio bila kutegemewa katika hali ya kawaida.
Mfano siku izi kupata kazi imekuwa 'bahati' kwa maana ya kwamba japo una qualifications, unahitaji 'bahati' flani hivi ili mkupata kazi inayofaa
Pia, Kupata "mke mwema" imekuwa bahati pia ndo maana unasikia "ana bahati amepata mke mwema" nk.