fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 975
- 1,356
Habari wana JF.
Milioni 18 tu unapata nyumba ya vyumba 3 na sebure maji yapo umeme ni kuvuta tu . Location ni Saku mwisho karibu na mwanagati Dar es salaam HAKUNA UDALALI.
Hivyo basi.
∆ Kama ukipangisha ✓
∆ Kama utageuza kuwa sehemu ya ufugaji ✓.
∆ Kama utahitaji kuishi ✓
NOTE : muuzaji ni Babu Hana simu kubwa ya kupiga picha hivyo kanipigia simu kaniomba nimsaidie kuwaeleza wadau wangu wa karibu pia Kama mtu atahitaji kwende kuitazama ni BURE hakuna udalali karibuni.