Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Juu juu juu zaidiiiiiiiiiiiii
Endelea kujaribu hivyo hivyo ipo siku utabahatika...
Yaani unaendelea kumpa moyo tu! Wkt keshadiklea amechemsha?
Ilipofika ni kumpa m'badala!
Mf. Waweza muadvaisi apumzike na kamari!
Probably kama alikwisha bahatika kubarikiwa kanyama kasteki kasikokua na mfupa! Basi kamtoshe hako!