Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
​kimekugunisha nini kama c umbea tu?!!!
Hilo jamaa hata likikuona shem unaingia toilet linaguna !
​kimekugunisha nini kama c umbea tu?!!!
Hilo jamaa hata likikuona shem unaingia toilet linaguna !
Miguno mingine ya utamu jmn lol....! Hujambo my shem, niko mitaa yako hapa..
Hilo jamaa hata likikuona shem unaingia toilet linaguna !
hahahaaaaa!!umeona eeee
nikikohoa anaguna,nikiimba mguno khaaa!!
​ubarikiwe kiwawira hahaaa!!ahsante bibie
Yaan urudi kwenye uzi... Mf. Chumba = Chumbani, Ofisi = Ofisini, Uzi = Uzini.... Tuko pamoko???mh... unataka nirudi tena nizini? au sijakuelewa mama?
Yaan urudi kwenye uzi... Mf. Chumba = Chumbani, Ofisi = Ofisini, Uzi = Uzini.... Tuko pamoko???