Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,787
Hahahahaha,aya mwaya
Afu mwenyewe muhusika hakawii kuumwaga!
Hapa keshatimka!
Hahahahaha,aya mwaya
....afu wewe!!Afu mwenyewe muhusika hakawii kuumwaga!
Hapa keshatimka!
Mmmmhhhhh?
juuu juuuuuuu zaidi sisy!!
mwenzangu kaogee maji ya bahari
thn ujipake juice ya pili2 mwili mzima!!
mafanikio utayaona kama mie dada ako!!
Juu juu.....juu zaidi......hivi mada inahusu nini vile.
Lala kwanza, ukiamka ntakwambia!!!!!
Ombea niendelee kuelekea hukohuko!
Mistake ya nikigeuka wote mtakimbia!
Au screen zenu zitavunjika!
juuu juuuuuuu zaidi sisy!!
mwenzangu kaogee maji ya bahari
thn ujipake juice ya pili2 mwili mzima!!
mafanikio utayaona kama mie dada ako!!
Juu juuu zaidi, labda huko kwenye ukoo wenu hakuna kismati.
Thatha hayo maji ya bahari ntapata wapi huku baraaaaaa????
Njoo dar kwa gharama zangu cl
Ngoja nkuimbie labda utageuka....
"Nasema ageuke, na tena ageukeeeeeee"
​kimekugunisha nini kama c umbea tu?!!!Mmmmhhhhh?
Thatha hayo maji ya bahari ntapata wapi huku baraaaaaa????
​kimekugunisha nini kama c umbea tu?!!!
rutta umempa zawadi gani ya besdey?