Bahati nasibu

Bahati nasibu

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Chit Chat juuuuuuuuuuuuuu………………………
Ukiwa unacomment unaitika “Juu juuuuuu zaidiiiii” kishaunatupia comment yako….
Mwenzenu mie tangu nimekuwapo katika hii dunia sijawahikubahatika kwenye BAHATI NASIBU wala PROMOTION.
Wakitangaza Promotion yoyote nimekuwa mstari wa mbelekujiunga, ukianza na promotion za simu mitandao yote, huwa natuma hizo nambarimf. “Tuma NENO pesa kwenda namba 15251” natuma kama sina akili nzuri. Lakinisijawahi kupata WALAU HATA muda wa maongezi, naishia kukatwa 200/= 300/= zangu.

MAGAZETINI, Yaan hapa nilipo huwa Napata magazeti ya burekila siku, nakata “kuponi” natuma ila hata sijawahi kuingizwa kwenye droo….

VIZIBO VYA SODA NA BIA, Yaani huwa najitahidi kunywa sodawakati wa PROMOTION walau nipate soda ya bure ila HOLAAAA… Vizibo vya bia huwanakusanya weee natuma TBL / SBL lakini HOLAAAAA!!!!

Ila sijakata tama, huwa sichoki kujaribu………. Au huwainakuwaje wadau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
juu !!! juu! zadi ya juuuuuuuuuuuuuuuuuu!! mpaka juuuuuuu yake na juuu,maana tunatoka chini kwenda juu kabisa.

afu Baba V sijafurahi hata kidogo, yale madudu gani umenilisha jana ?kwa kuyatazama yanafanana sana na vitoweo vya akina Bishanga (senene) yale yanayo uziwa pembezoni mwa vituo vya mabasi nimeuliza wenyeji wakaniambia eti ni dagaa kamba.. na ile supu yake yaani ppptuuu!!
 
Last edited by a moderator:

Jamani mbona sipati jibu... Punguza UCHAKACHUZI...

Haya msalimie my dada.... 🙂
 
Judgement umesahau kipindi Madame B alitafutaga kazi ya kumhudumia tajiri,mwenzio kafanikia yuko dawa dubai kwenye familia ya al maktumu,chezeiya wewe toto la majani mapana.

Alaaa kumbee! Kwa hilo nakuamini , ndiyo maana siku hizi hanipigi MIZINGA! Nilikuaga sipumui na mizinga ya vocha, shoppin, hata ile mikate ya Nasa nilikua nan'nua !
Nway huyu wa majani mapana! Wa majani membamba ndiyo ninae mie.
 
Last edited by a moderator:
juu !!! juu! zadi ya juuuuuuuuuuuuuuuuuu!! mpaka juuuuuuu yake na juuu,maana tunatoka chini kwenda juu kabisa.

afu Baba V sijafurahi hata kidogo, yale madudu gani umenilisha jana ?kwa kuyatazama yanafanana sana na vitoweo vya akina Bishanga (senene) yale yanayo uziwa pembezoni mwa vituo vya mabasi nimeuliza wenyeji wakaniambia eti ni dagaa kamba.. na ile supu yake yaani ppptuuu!!

Ile supu yake ile wacha kabisa, tena inatakiwa inywewe ya motoo ndo maana inakuwa kwenye zile thermos inafanya kazi sana kuongeza nguvu za Temeke ..... Isingekuwa ile Asprin angekuwa keshakimbiwa na akina cacico kitaambo..
 
Last edited by a moderator:
Wifi yake Chocs ungefafanua kwanza hiyo ya juuuuu na juuuu zaidi
ni juuuu ya nini,
Yasijetukuta wengine
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom