Bahati inapogeuka umbo la mitihani

Tunafumbwa macho na starehe za mda mfupi na kusahau maisha ya mbele ambayo ni marefu na yanahitaji tumaini la jana. Kamkosea sana Mungu watoto 6? Akatubu halafu amlilie sana Mungu!

^^
Uzao mkubwa ambao ungekuwa zaidi,,ila kwa sasa ile hali ya toba imejaa ktk kauli zake.
^^
 
Bado hii hadithi yako haijaelezea kwa nini hajapata mtoto!
Nijuavyo mimi kutoa mimba hakusababishi kukosa mtoto! Labda kutolewa kizazi. Hebu [MENTION]Dr.mo[MENTION] unisaidie labda.
Mimba 6 na siajabu zote zimetolewa kienyeji kuna uwezekano mkubwa wa kutemper na kizazi. Au ktk harakati za kuokoa maisha ililazimika kutoa kizazi.
Lakini hatuwezi sema for sure, huenda mumewe ana matatizo pia.
 
^^
Si hadithi unavyodhani,, ila huyu dada alinidokeza kuwa hana kizazi na kwa hali aliyokuwa nayo ya machozi ilikuwa ngumu kwangu kumhoji kwa undani. Si vizuri mtu anapotaka umsikilize hapo hapo ugeuke hakimu wa kumhoji maswali ya kukuza hatia (guilty)
^^

mhhhh kumbe hii ni true story? mwenzio nilidhani hadithi ya shigongo, mweeee!! i ril fil sor 4her!!!
 
dah!
sijui nilikuwa na ujasiri gani kipindi kile sijui
ILA NAMSHUKURU MUNGU SANA sikupita hapa!
maisha haya jamani mwe!
 
Wapo waliotoa hadi 10 ila bado walipata watoto na vizazi havikutolewa....so ni jambo tu halikuwa na budi kutokea

...mara nyingine nabaki kusema ni neema tu ili waliopitia mambo kama hayo from experience zao waelimishe mabinti. Inasikitisha na inauma sana..sana. Huku wengine wakikana watoto wao, wengine kuwatupa, telekeza.... nk. kuna wengine wanalilia kupata malaika hao. kwa wengine inatokea tu hawapati watoto, kuna wengine wanaelewa sababu, kuna wengine wamesababisha hali hiyo kutokea. lakini kwa sababu yoyote ile, bado inahuzunisha sana. Nampa pole sana mdada huyo kwa anayopitia na pia kwa mume wake kwa kutojua sababu. Wamwombe Mungu awape nguvu na upendo wakutosha kuweza kusimama imara katika ndoa yao
 
duuh, thanks best kwa funzo.. mi sielewi huyu roho wa ukatili aliyeachiliwa maana ni kila kona vilio km hivi havikosekani na hakuna asiyejua madhara yake lakin vinazid kushamiri kila iitwapo LEO.
 
Chujio niseme nini tena!
^^
 
Last edited by a moderator:
duuh, thanks best kwa funzo.. mi sielewi huyu roho wa ukatili aliyeachiliwa maana ni kila kona vilio km hivi havikosekani na hakuna asiyejua madhara yake lakin vinazid kushamiri kila iitwapo LEO.

^^
Roho wa ukatili amekuja amepata baraka zote za Ibilisi mnywa damu za vichanga!
Btw I miss you annito
^^
 
Last edited by a moderator:
Hii inawezekana mana malipo ya matendo yako ni hapahapa duniani...la msingi tuache kutoa mimba...na tuache ngono zembe...

Ngono salama ni zipi? Hamna salama wala zembe hapa cha muhimu ni utulivu wa mtu na kujiheshimu kwake only.
 
Hukupita huko kwa sababu sisi tulikuwahi mapema kukuhamishia kwetu. Endapo tungekuacha may be ungejikuta umepita humo.
HEHHEHEHHEHHEHHEHE kwanza hebu nipigie!
hii maswala ya kutokuongea na mke wenu wiki ya pili sasa imeanza lini?
 
Bado hii hadithi yako haijaelezea kwa nini hajapata mtoto!
Nijuavyo mimi kutoa mimba hakusababishi kukosa mtoto! Labda kutolewa kizazi. Hebu [MENTION]Dr.mo[MENTION] unisaidie labda.

mkuu hujaelewa nini? Umeshaambiwa akiwa frm 2 alishatoa mimba sita, unadhani mpaka anamaliza chuo kizazi kingekuwa bado kipo?
 
Back
Top Bottom