Bahati inapogeuka umbo la mitihani

Well, its so sad....
Ivi mpaka mtu anafikiria kufanya illegal abortion... ni mtu katili sana... anyway mpe pole mdada.
 
Well, its so sad....
Ivi mpaka mtu anafikiria kufanya illegal abortion... ni mtu katili sana... anyway mpe pole mdada.

^^
Wakati ule sababu kuu ilikuwa ni masomo,ingawa tukiacha bahati ya kupata mwanaume mwenye uwezo kifedha,kile kinachoitwa mafanikio ya elimu sikioni
^^
 
^^
Wakati ule sababu kuu ilikuwa ni masomo,ingawa tukiacha bahati ya kupata mwanaume mwenye uwezo kifedha,kile kinachoitwa mafanikio ya elimu sikioni
^^

mimi nadhani ni kutojiamini tu, kwa kipindi kile msichana mwenye mimba hakuruhusiwa kuingia darasani pengine ama tuseme mazingira hayakumruhusu kuendelea na masomo lakini sidhani kama msichana aliyezaa alikataliwa kuendelea na masomo. Madam Ritha alizaa akiwa na 14 years ila aliendelea na masomo kutokana na kujiamini na pia kuwa na plans.
 
mkuu hujaelewa nini? Umeshaambiwa akiwa frm 2 alishatoa mimba sita, unadhani mpaka anamaliza chuo kizazi kingekuwa bado kipo?

Unaposema kizazi una maanisha nini?! Kwa hiyo ukitoa say mimba ishirini kizazi kinapotea au?! Hahaha jitume walau kusoma mdogo wangu! Sio kutangaza ujing.a humu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom