Baharia

Baharia

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Utofauti wake wa mwendo ulimfanya baba ake amuulize...
baba: Mbona unatembea ivo kama unayumbayumba
baharia: Unajua baba, nimefanya kazi muda mrefu ktk meli na kule kuna mawimbi, kwaiyo kule siwezi kutembea sawa sawa, kwaiyo ndiyo nimeshazoea kutembea kama nipo kule
baba: Mbona mimi mama ako ninalala naye mwaka wa 35 na nikitembea sikati viuno??
 
Back
Top Bottom