Nani anapenda. . .nani hapendi?
Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
Me napenda tena zenye pilipili halafu unashushia na pepsi
Nilikuwa Dar siku moja nikaagiza chips, na zenyewe zilikuja zikiambatana na mchicha!!!Nani anapenda. . .nani hapendi?
Mi leo nimekula zilizowekwa mchicha kwa mara ya kwanza. . .Tamu mpaka raha, sema chai tu ndio ilikosekana.
kaby umentamanisha BAGIA za pilipili..