King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,852
- 95,056
kwenye amsha amsha wenzake wanakunywa bia yeye anakunywa crate 1 na nusu la soda.
ila alicontrol ikaisha kabisa
Hadi mother wake alikuwa anamkataza alikuwa kwa siku anakunywa soda 6 kwenye function anakunywa soda 20.