Bagamoyo Road kuwa Silicon Valley ijayo?

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Wakuu,

Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya mawasiliano Tanzania.

Makampuni yote kuanzia TIGO, VODACOM, HALOTEL , TTCL Na AIRTELL lakini pia kuna makao makuu ya kitivo cha COET sehemu ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Ukifika pale Bamaga maeneo ya sayansi kuna Start up nyingi sana zinakuzwa.

Lakini pia mtumdikano wa ma bank Na taasisi za fedha kwenye hii barabara kuna ifanya kuwa ya kipekee kabisa Tanzania. Je huenda Sillicon Valley ikazaliwa hapa nchini?

Nawasilisha.
M
 
Wakuu,

Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya mawasiliano Tanzania. Makampuni yote kuanzia TIGO, VODACOM, HALOTEL , TTCL Na AIRTELL lakini pia kuna makao makuu ya kitivo cha COET sehemu ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Ukifika pale Bamaga maeneo ya sayansi kuna Start up nyingi sana zinakuzwa. Lakini pia mtumdikano wa ma bank Na taasisi za fedha kwenye hii barabara kuna ifanya kuwa ya kipekee kabisa Tanzania. Je huenda Sillicon Valley ikazaliwa hapa nchini?

Nawasilisha.

Ebu nenda Mbagala ya sasa, ni kama Ulaya, najua utadhania utani, barabara nzuri sana mpya na inaendelea kujengwa, kituo kikubwa cha mwendo kasi, viwanda, etc..

Dar inakuwa sana, ukija Njia ya Morogoro Road, hasa kuanzia Mfugale Interchange hadi Kibaha kama Marekani vile, 8 ways, yaani 4 kwa 4, na bado haijakamilika, ila Sura ya Dar itavutia sana
 
Ni kweli kabisa kaka.
 
Mimi nashangaa Sana . Badala ya kupanua mji kuelekea ruvu to chalinze, Bagamoyo to Msata, Mbagala to Lindi mnaongea hapa mdomoni.

Na washirika wanazingatia sijui BAMAGA. ..Tujifunze kuwaza mbali
 
Back
Top Bottom