Bagamoyo mpya

Una uhakika? Huko ndipo wapo Mabalozi? Rais wetu na yeye anaishi huko? Alivyokuja Obama, alialikwa Ikulu ya wapi?

Nilifikiri mjuvi wa mambo kumbe mtu mwenyewe unamezeshwa maneno kama Pelican.....
Hata Tanzania kuna Dar ES Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Tanga zote "Cities" hizo lakini Capital ipo Dodoma "Town".
 
Nchi hii pucha nyingi kweli. Mara magorofa, flyover na sasa picha za bandari ngoja tusubiri.
 
Bandari ya Tanga imejifia siku nyingi wala hawana habari.Kama hii ambayo ipo inahitaji marekebisho na usimamizi inatushinda,hiyo mpya na kubwa zaidi tutaweza wapi!!!

Hatujui kabisa vipaumbele walahi tena,yani ni ubinafsi tu.Kila rahisi sasa akiingia atataka kupeleka kitu mkoani kwao.Afadhali mkapa kidogo alikuwa na justification ya kujenga daraja la mto Rufiji

Nchi ya kijinga sana hii,nashangaa Diaspora wanavyo ng'ang'ania raia pacha,nchi yenyewe hii bochubochu halafu unataka uraia wa nini?!! Ujinga ujinga tu umetawala hii nchi.
 
Kuna Las Vegas, Los Angeles, Atlanta, New York.............

Ila Makao Makuu ni Shamba kabisa, WASHINGTON DC.

Kuna Istanbul kaali, ila Capital City ni ANKARA.

Unaongea nini wewe? hata Tanzania capital ni Dodoma, si jiji ni mji.

Lakini hapa hatuongelei "capital" tunaongelea makao makuu ya mkoa. Sijui unaelewa au na wewe ndio katika wale wale mapunguani.

Unaijuwa Washington DC au unaisikia tu? unaiuwa Ankara au unaisikia tu? japo google kiduchu ujitazamie picha ya hiyo miji.
 
Kuiuwa Ankara ndiyo nini wewe? Hapa Punguani ni nani? Niiuwe Ankara mie?

Back
Top Bottom