steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,345
- 13,370
weeee!!!!! Hiyo center ni nzuri zaid ya center ya Rashid mganwa mkuuu!!!!
kwa mujibu wa NBAA,ni ya 3 kitaifa,hivyo siyo mbaya mkuu
weeee!!!!! Hiyo center ni nzuri zaid ya center ya Rashid mganwa mkuuu!!!!
Muccobs ni wapi jamani ..?? Kipo wapi hicho chuo
Heading ya thread ni jibu tosha
mi sipati picha kuhusu hii BAF,hivi mtu anweza kubobea kwenye Finance na Account kwenye first degree kwa wakati mmoja? Hii course naona kama iko general au vague sana ndo maana mlimani haipo
Declaring interest...
I studied BAF ya mzumbe...BAF ya mzumbe is one of the Best...I remember nilingoa CPA bila hata ya reviews...walimu wa mwaka wetu walikua wazuri sana..akina Komba na mwasaliba! Na kadhalika...u want to win n do big things go Mzumbe! It will open ur eyes kwa vitu kama CPA,ACCA na hata CFA baadae! Sylabus ni nzuri sana! Ila sasa matokeo yako yawe mazuri..mwaka wetu darasa zima lilikua limejaa 1 mpaka za sita was mwisho! Kwa sasa sijui ikoje! But ushauri..mwingine..kama wewe ni kichwa haijalishi mzumbe,muccobs,udsm utafanikiwa tu na kufaulu ACCA,CPA na hata CFA
Vizuri sana endeleeni na ushabiki wa vyou.Mwisho wa siku waajiri awangalii chuo ulicho maliza,wanangalia Competence ya mtu.Hata kama utasoma Open University mwisho wa siku uwelewa wako wa mambo ndio utakao kuuza.
Ndugu...kuna makampuni ili kuingia wanaangalia vyuo..competence comes baada ya kupata chance ya kuingia na kuprove that you are competent..kwa mfano..hata uwe kompitent kiasi gani mwenzako alosoma Havard na wewe ulosoma Mzumbe aud UDSM mkiweka magamba lazima upigwe chini..
I have worked with people from Havard,oxford na vyuo vingine duniani hawajatuzidi zaidi ya kiingereza na exposure kwa mbaaali..kinacho wabeba wenzetu ni magamba..so if you think gamba halisaidii try and soma Zoom Politeki au hivyo vyuo vingine vidogo vidogo ul see
And mungu anisamehe..kuna vyuo watu huwa wanaenda just kwa sababu wamekosa Udsm na Mzumbe..if you have a chance ya kwenda Mzumbe or Udsm just goooo and dont even think twice...#Nobraging
Declaring interest...
I studied BAF ya mzumbe...BAF ya mzumbe is one of the Best...I remember nilingoa CPA bila hata ya reviews...walimu wa mwaka wetu walikua wazuri sana..akina Komba na mwasaliba! Na kadhalika...u want to win n do big things go Mzumbe! It will open ur eyes kwa vitu kama CPA,ACCA na hata CFA baadae! Sylabus ni nzuri sana! Ila sasa matokeo yako yawe mazuri..mwaka wetu darasa zima lilikua limejaa 1 mpaka za sita was mwisho! Kwa sasa sijui ikoje! But ushauri..mwingine..kama wewe ni kichwa haijalishi mzumbe,muccobs,udsm utafanikiwa tu na kufaulu ACCA,CPA na hata CFA
Ndugu nimesoma hge naweza pata BAF_PS ya mzumbe kwa matokeo haya
H=C, G=D, E=D Bam=S, G.s=S
hiyo two ya 11 unapata bila ubishi,kuna jamaa mwakajana matokeo watu walifaulu kulko mwaka hu alipata two ya kumi yupo mzumbe
mi sipati picha kuhusu hii BAF,hivi mtu anweza kubobea kwenye Finance na Account kwenye first degree kwa wakati mmoja? Hii course naona kama iko general au vague sana ndo maana mlimani haipo