BAF YA MZUMBE VS BAF YA ARDHI and MUCCOBS

BAF YA MZUMBE VS BAF YA ARDHI and MUCCOBS

mh,wastani mzumbe ni 50,hiyo 41 sijuhi jamaa kaota au vipi,pili,kwa uhuru wangu wa mawazo,wingi wa masomo si uzuri wa course,mfano,hakuna chuo chochote kizuri ambacho wanasoma masomo nane kwa semista,kama kipo niambie,anzia na harvad,uzuri wa course unategemea sana uzuri wa waalimu,maswala ya kufelishwa kuwa kigezo tuyaache kwa madogo wa sekondari,maana kwa mfumo ulio mzuri wa elimu,mnapofeli sana ni dalili ya kutoelewa

Kampala tumesoma nane kijana.
 
kwan kunatofauti gan kati ya bachelor ya acounting na bachelor ya account and finance!?
 
na declare interest,mimi ni mwanafunzi Baf Muccobs, napenda kuchukua mda kidogo kukuelezea mambo yanavyoenda kuliko kung'ang'ana na ushauri usiyo na reasons, kijana BAF zote ni nzuri zinafanana na zinatofautiana course contents na malengo pia. Mfano course content za mzumbe ni Tano,muccobs Saba na Ardhi nane,Kwa upande wa muccobs kuna course za ziada kila semister ambazo mwana Mzumbe atakaa hazizome,na kila course ya mwana Mzumbe inapatikana Muccobs, Muccobs ni chuo si mahali pa kuja kucheza kwani Mr Boa,mama haren,matogoro,Dr mwende,mama mwende, nk watakuvuta shart mapema. Ufaulu wetu ni 50% while mzumbe wako 41%,kupitia baf ya muccobs unaweza kufanya kazi za Accounting zote kuanzia bank,public entities,private entities,cooperative org nk,QUALIFICATION NI Cut Off points ni 4.5 yenye atleast two principle pass. HATARI: kama wewe hujasoma a/c mahali popote na hauna uelewa na a/c, Baf ya muccobs si mahali pako kwani utasoma kwa majuto na manung'uniko kwani lectures utaziona kaa la moto, take it from me.
Mkuu nani aliekudanganya kuwa ukiwa na course nyingi ndo uzuri wa chuo? unaenda kiundani katika hizo course ama unadonoa donoa? halafu hilo la 50% na 41% yanategemeana na evaluation factor
hebu sema kitu cha ziada utushawishi
 
Back
Top Bottom