Kama unayoandika humu kila siku yanashabihiana na maisha yako, then you've gotta to evaluate yourself dada yangu. Ni kama vile hujui unachotaka...usinipige mawe tu!!!
kwa namna 1 au 2 hizi picha zimeniboa, mbona hakuna mwenye mtoto wa kiume? nazani madem wanafanyaga makusudi kuzaa watoto wa kike tu. kila jinsia inavutia upande wake.