Bae niongezee hela ninunue S9+

hahaaa jamaa alikuwa mtaka sifa baada ya kukufanya ulipe 250k, jamaa aliamua kukukomesha tu, its lyk mnaenda restaurant hlf saa ya kulipa bili unamkimbia demu Mzigua90
Kwanini anikomeshe kama vile nimekuomba. Mscheeww zake. Yani mtu akikimbia bill ntamtangaza
 
Hiyo anything anyhow mi siwezi ila kwa wewe ukinipa hiyo hata week poa tu. Usijeniambia tu tuilipie bill [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyo mtoto alinishangaza jinsi alivyoitaja 2m kiurahisi.

Mimi sikupi hata mia, ila bili zote nalipa.

Kabla ya safari tunanunua unga na mchele wa kuacha nyumbani.
 
ngoja kwani S9+ bei yake halisi ni shilingi ngapi. kwa wale wanao jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…