Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,120
- 136,887
Ila mi si ulisema utaniletea bby?
Wewe tena? Of course!!!
Wewe unaendana kabisa na iPhone X.
Ila mi si ulisema utaniletea bby?
Sipendi mnavyonisingizia mjueNamuelewa sana....
Ulivonambia kama wanalza buku 20 nilifungua calculator na nikaona opoortunity nzuri hii ya kupiga hatua.Ukiwa na vi issue vidogo vinakuingizia 50,000 kwa siku hio ni extra 1.5m kwenye kipato chako.
Namuelewa sana....
Sasa hii lugha NN umenitupa. Wewe rafiki angu japo unanitia kwenye vitanzi vingi cha kuchukiwa ila mi siwezi kukuchukia kama wanavyotaka.You’ve been so good to me.
Especially what you did to me yesterday.
I owe you something really really nice.
And my word is bond. So just hang tight and you’ll love it!
Hawa mawifi sio wa mji huu.Mimi siombagi zaidi ya elfu hamsini.tena huwa nakopa .sema nasamehewa ila nakua kabisa na lengo la kurudisha kwa mbaaali
What? Aharibu kivipi?Sema na wewe umekaa kipedeshee sana halafu unajifanya fala flani .kumbe hufai.mwanamke ambae hajakusoma sana hatocheua mbele yako lazima aharibu dakika mbili tu za mwanzo.una kainnocent face na smile kumbe???
Kama anafaa kuwa sponsor namuomba basi. Maana mi wala sina invoice na nitampenda ila nijue tu siku nikiwa na shida atanisaidiaSema na wewe umekaa kipedeshee sana halafu unajifanya fala flani .kumbe hufai.mwanamke ambae hajakusoma sana hatocheua mbele yako lazima aharibu dakika mbili tu za mwanzo.una kainnocent face na smile kumbe???
Ulinipa sh ngapi? Ila ngabu uliniuzi sana ila nimemiss ma bufee ya mjini hapaHmmm huombagi zaidi ya elfu hamsini?
Acha hizo le mbebz bana.
L kaniambia nimwambie anko Juju amlipie DSTV this time. Mama kalipa cha 19000 tuHalafu billing cycle ijayo ntakulipia mimi ile bill ya DSTV!
Wewe sikuamini. Nikikupa hela ukalipie si ajabu utakosea tena kama ile siku.
Teh teh unakumbuka?



Muacheni kaka yangu aoe sasa.Rrondo ni husband material sana ni fighter sana sema penye miti wajenzi hakuna mvua tu nyingiKama anafaa kuwa sponsor namuomba basi. Maana mi wala sina invoice na nitampenda ila nijue tu siku nikiwa na shida atanisaidia
Na Heineken. Sema Ngabu msweety akiacha usukuma atakua msweety zaidiNgabu atakununulia misosi tu
Sio msweet kama Rrondo.Rrondo ni msweet in and outNa Heineken. Sema Ngabu msweety akiacha usukuma atakua msweety zaidi
Mi bwana naomba ila nikiomba nakua nina shida kweli. Na napenda kupewa bila kuomba maana mgumu wa kuombaHawa mawifi sio wa mji huu.Mimi siombagi zaidi ya elfu hamsini.tena huwa nakopa .sema nasamehewa ila nakua kabisa na lengo la kurudisha kwa mbaaali
Si kama huyo anaetaka m ya kununua simu? Alikuchukulia poa.yaani ulivokaa aliona huyu atanipaWhat? Aharibu kivipi?