Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Baada ya kuona teknolojia imeweza kurahisisha watu kukutana basi na mimi nikanunua smartphone.
Katika smartphone nikakuta badoo basi nikaamua nijiunge na kuwauliza wadau wakaniambia utafaidi papuchi mpaka uone ni kawaida kama kumeza mate.
Basi nikaaanza tongoza tongoza ila sasa baada ya message kumi naitwa baby afu vizinga vinaanza.Hilo sio tatizo kwangu maana sina hela na wakiniomba huwa napiga sound tukutane ndio nimpe.
Akikubali sawa,akigoma u beibi unakufa.Tatizo kwenye kukutana unakutana na kituko .Mmoja alikuwa kaweka picha yake ya usichana na kaandika ana miaka 21 ila kukutana nae anaonekana ana miaka 35 na chuchu sio saa sita kama kwenye picha.