Hawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Toka cdm kumpokea EL hakuna mtu yeyote anaetafakari na kuwa na Uhuru wa fikra ataiunga mkono au kuwa na imani na cdmSijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.
Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!
Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
We bado unakula za Fisadi sio!Huyu amenunuliwa tayari kama Profesa lipumba, jiandae kukatwa mkia
I don't think so Nyani Ngabu
Enemies of chadema have been attacking for years but their wall still stands.
May be imekuwa kosa kuahirisha maandamano na mikutano, may be not, but in any case, hii haiwezi ku-define mwisho wa chadema. Yalikuwepo matukio mengi na nyakati nyingi ambapo tuliambiwa chadema imefika mwisho, but it's still there.
Na hao walioahidi kuchangia damu hawakuwa nao hata kwenye UKAWA. Walikuwa na kila sababu ya kutoa kejeli kadiri walivyoona inawafaa.
Polee.Words!! Wamenikata maini......
Hawa CHADEMA ndo basi tena.
Naona wapo kwenye mwendokasi wa kuelekea kaburini.
Hii si mara yao ya kwanza kuwapandisha watu mzuka halafu wanaishia kubadili gia angani na kuwaacha watu wakining'inia.
Nani tena atawaamini hawa jamaa? Manake baada ya kuwaaminisha watu kwa miaka mingi kuwa Lowassa ni fisadi, matokeo yake ndo akaja kuwa mgombea wao. Mamlaka ya kimaadili ya kukemea ufisadi wakayapoteza.
Baada ya kuwapandisha watu mzuka wa UKUTA, leo wameufyata mbele ya Ngosha.
Sasa eti wametangaza hayo maandamano yatafanyika Oktoba mosi.
Watampata nani hiyo Oktoba mosi? Wake, waume, na watoto wao?
Wameishiwa kabisa. Hawana jipya tena. Hawana dira wala mwelekeo wowote ule.
Mtu afadhali unaweza kusema kuwa kabla ya ujio wa Lowassa kwamba watu walijua wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Lakini leo hii nani anayejua wanachokisimamia? Nani anajua wanaposimama?
Walishindwa hata kuwashawishi wapinzani wenzao kuwaunga mkono ki hali na ki mali kwenye huo UKUTA wao. Wengine wakadiriki hadi kuwatakia kila la kheri na kuwaahidi kuchangia damu endapo wangehitaji baada ya kupokea kichapo cha vijana wa Ngosha.
Matokeo yake tingatinga limepita na kuusambaratishia mbali.
Wanahitaji uongozi mpya wenye maono mapya la sivyo wataenda bye bye for good.
Mkuu mbona hushangai waliokuwa wanapinga UKUTA leo wanasahangaa chadema kuhairisha zoezi hili? Binafc naona niuwamuzi wa busara kusitisha zoezi hili, fikiria kama wangekaidi agizo la jeshi, yakatokea maafa angelaumiwa nani? Mkuu nakuomba uendelee kuiamini Chadema.Dah!
Sasa we mshikaji povu linakumwagika hadi unashindwa hata kuandika vizuri.
Safari ijayo msijenge ukuta wa matofali ya udongo.
Sometimes wakituangalia huwa wanatushangaa sana.Freedom of speech, freedom to assemble, free and fair elections are written in the African's constitution! :By Barack Obama while addressing African head of states.
Hujajua kuwa mmeshachiwa?Kwan mkuu shida yako ww nin hebu tuache na chama chetu! Kama unatuhurumia ni vyema ukachangie damu sokoutoure
Utamjibu nini anaeshangilia udikteta, uvunjwaji wa katiba unaofanwa na aliyeapa hadharani kuilinda. La msingi ni kumwonea huruma na kumpa pole, kwa hajui atendaloSijui kwa nini tu watu huwa hawajibu maswali.
Unamuuliza hiki yeye halafu yeye anakuja na ngonjera nyingine kabisa!
Ndo maana tuna mambo kama hayo ya UKUTA.
Hawa fanatics wa ccm ni vipofu kiasi cha kutoyaona haya usemayo!Japo kuwa sijawahi kuwa mfuasi wao hawa jamaa kwa hili naomba niwatetee,
Nia ya Maandamano ilikuwa kuujulisha umma wa Watanzania kuwa haki Demokrasia na uhuru vinakandamizwa,
ukitazama karata zao walicheza vizuri sana sana,kwanza walitoa muda mrefu sana toka watangaze kuwa watafanya hayo maandamano yao,
Hapa ukitazama kwa nje utaona kama jamaa wamefail lakini ukweli hawajafail wameshinda sana tu,lengo lao lilikuwa kuwajulisha watanzania kuna tatizo nchini,
Serikali na Taasisi zake bila kujua au kwa kujua au kwa chuki wakaingia mkenge wa kuanza kuutangaza UKUTA kwa wiingi sana na nguvu kubwa mno kila sehemu na kila pembe ya nchi umejulikana na watu wamehoji maana ya UKUTA sasa hapo lengo na nia ya chadema imefanikiwa bila hata kuandamana,
Ingekuwa hata mimi Mbowe wala nisingeingia mtaani kwa sababu kama mashtaka waliokuwa wanataka kuyaleta kwa wananchi yamefika
Bashe aliwaambia Jamhuri inacheza ngoma ya Upinzani bila kutaka